hv ndo nn | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hv ndo nn

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lady G, May 15, 2011.

 1. L

  Lady G JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hv kwann wanaume hawapendi kuongozana na wake zao sehemu mbalix2. ni mkewe lkn kutoka nae outing breeeeek. Nn sababu hasa. Wknd njema
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  My perspectives...Inaweza kua moja ya hizi sababau Lady G


  1. Huyo mwanaume ni player, hapendi watu wajue kaoa - ndo wale wakitoka nje ya gate anvua wedding ring.
  2. The wife is disappointing... Yani hauzi barabarani - mara nyingi husababishwa na baadhi ya wanawake wanaofikiri ukiolewa hamna umuhimu wa kuendeleza urembo kama alivyokua before.
  3. Mwanume kukosa uhuru - Wife akiwepo hawezi jipa luxury ya kumuangalia au ku flirt na mwanamke mwingine yaani hakuna jipya ambalo anaona atafaidi in the presence ya the wife.
  4. Maeneo hayo kuna kimada, au ni eneo ambalo humpleka kimada hivyo kutaka tu kuepusha shari.
  5. Mwanamke mwenyewe hana mzuka wa kutoka.... Wakitoka story zinakua "ooh nimechoka i wish ningekua bed nipumzike" mara "oo hii sehemu umenileta tumetumia elfu 80, si bora tu hata tunge ongezea kidogo tu-replace store gate"... bla bla bla.....
  6. Mke ni mshamba hayuko exposed.
  7. The wife akienda nae sehemu ana draw saaana attention, akili ya jamma zake hapo, akili ya wakubwa/Bosses hapo! in shor she is Red Hot
  8. zipo na nyingine kibao tokana na personality za hao wahusika wenyewe na nature ya ndoa ikitegemea vitu kama walikutana vipi/vitu gani wanapenda/mtazamo wa maisha/kipato chao.... The list goes on....
   
 3. L

  Lady G JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  thanx Asha, nimejifunza kitu hapo
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nakubaliana na wewe kiasi, sababu zote ulizoeleza hapo zinaeleza tu ushetani wa baadhi ya wanaume....kama mshamba hayuko exposed alimuoa wa nini? kama hauzi alimuoa wa nini,aliambiwa na nani kuwa hakutakuwa na mabadiliko katika mwili wa mke wake atabaki kuwa kuwa kama alivyokuwa kabla ya ndoa?
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  I am glad kama imekua useful... have fun...
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Nakubali Michelle... but hio haitufanyi tu face the facts.... Most wanaume anapooa mdada anaangalia atakua a good wife? a good mom? a good house wife (in the case ya kutunza nyumba/usafi/budget)? Na you as a woman waweza kua yote hayo but you are not exposed, you don't like kujirusha, sio mrembo kivile - which to most men it does not matter as long as home pana amani. Akijua akitaka kujirusha atatafuta vimada.

  Michelle note that mimi kutoa that perspective si kwamba na support; BUT ni kwamba by my observations na stories na baadhi ya wakaka that how i see it and its a reality...
   
 7. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  may be wanaboa au wame depriciate
   
 8. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kujiweka nadhifu uvutie wakati wote,hata kama una watoto na kazi za nyumbani zimekuelemea ni mtihani unaotushinda wengi wa wanawake:dance:
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,139
  Trophy Points: 280
  Mimi binafsi huwa sipendi kugandana na mume wangu kwenda nae sehemu zote. Kuwe kuna mualiko wa Mr.& Mrs. Au okeshens moja moja za kwenda auting. Kwani sehemu zake za kusosholaiz huni boa na hali kadhalika zang humbowa. Ya nini tabu na raha zipo? Yeye kivyake mimi kivyangu mradi kuna matembezi, masafari na mambo mengine ya kusoshalaiz ambayo tunafanya pamoja ambayo kila mmoja wetu anafurahia. Kisisi, kuoana si kutiana pingu.
   
 10. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanawake mna maneno nyie
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  matatizo na raha pamoja..
  i think mmmmmhhhh
   
 12. N

  Ngoswe11 Member

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kula tano faster , nimekupandishia mikono mrembo dah unatisha sana, wengine naona wanaiga tu! keep it up!!
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  umeongea vyema mamito.
  Pia mara nyingine mwanaume anapenda kampan ya wanaume wenzie tu.
   
 14. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  wengine wakirudi nyumbani valangati inaanza ohyule uliyesalimiana nae pale bibi yako bas tab tup
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  lol... Labda ulimuangalia kwa macho ambayo hutumii kwa wife.. yeye si mjinga bana.. penye kitu unaona vibration inakuwepo..
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Na wanawake wasiopenda kutoka na waume zao je?
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Gaga Unaniruhusu???
   
 18. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,797
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280

  Haya kina Bi-dada ukumbi ni wenu, wekeni mambo hadharani....hahahahah!

  Napita tu!

  .
   
Loading...