Hv mnakumbuka mama na mwana RTD?

SR senior

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
358
67
Mnakumbuka nn kwenye kpnd hiki? M kile kigoma cha kuanza kpnd kilikuwa kinanikuna kwelikweli!!
 
yaani ikifika saa 8 mchana kama kama movie theatre fulani, kumbe ni kiredio kimezungukwa betri 20 zilizoisha zimeungwa ungwa tu.
 
we acha tu afu karedio kenyewe kanashika AM tu....

Mama debora mwenda. Binti chura. that was good time when Tanzania was Tanzania na mtoto alikuwa mtoto kweli, serikali ilijua ina watoto. sasa tu wapi?.
 
Nakumbuka hadithi ya mfalme na sungura na sindano!! Nomaaaa mwenye audio clip atupie hapa!
 
wasimulizi wa hadithi za vile kwa watoto wetu sasa hv ht hawapo!!!?
 
Back
Top Bottom