HV kazi za kujiajiri na kuajiriwa ipi bora?

Inategemea,kujiajiri ni ngumu usipoangali kiundani,kuajiriwa ni bora ukiangalia kwa masaburi
 
Kujiajiri ni bora lakini kwa hali hii ya mtanzania wa kawaida kama mimi na wewe ni ngumu bana!!
 
elezea kidogo tupate darasa huru

Inategemea na mtu, kuna watu huwa hawapendi kuwekewa vipimo (mshahara) katika mapato yao, kwa hiyo siyo rahisi kuajiriwa. Watu hawa hupenda kujishughulisha wenyewe bila kusimamiwa na huwa wanapata motisha kwa utendaji wao zidi kuliko masaa ya kazi. Vivyo hivyo kuna wale ambao huhitaji maelezo ya kipi cha kufanya, hawa hupenda kipato cha kuajiriwa.
 
Back
Top Bottom