G M S JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 502 Reaction score 53 Nov 9, 2012 #1 Kwamfano airtel kuna modem za huawei na zte je zip nzuri? Na je namba za kwenye modem zinapoongezeka kutokana na toleo je nguvu pia inaongezeka?
Kwamfano airtel kuna modem za huawei na zte je zip nzuri? Na je namba za kwenye modem zinapoongezeka kutokana na toleo je nguvu pia inaongezeka?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,278 Reaction score 44,414 Nov 9, 2012 #2 cha muhimu angalia speed ya modem na quality ilotengenezewa modem na uwezo wa kuichakachua (optional) Modem mpya airtel Huawei e173 airtel -speed 7.2mbps -build quality nzuri -uwezo wa kuchakachulika mgumu zte mf 180 au 190 Speed 7.2mbps Build quality nzuri Inachakachulika kirahisi Sasa mwenyewe angalia kama unataka modem ya airtel nafkiri zte ndo option. na kama hutaki zte unataka huawei kanunue vodacom e173 then unlock
cha muhimu angalia speed ya modem na quality ilotengenezewa modem na uwezo wa kuichakachua (optional) Modem mpya airtel Huawei e173 airtel -speed 7.2mbps -build quality nzuri -uwezo wa kuchakachulika mgumu zte mf 180 au 190 Speed 7.2mbps Build quality nzuri Inachakachulika kirahisi Sasa mwenyewe angalia kama unataka modem ya airtel nafkiri zte ndo option. na kama hutaki zte unataka huawei kanunue vodacom e173 then unlock