wewe unatafuta nini kwa kaka ako? nyie ndo mnavunjaga ndoa za watuAna 36yrs Ila hana mtoto. Last month Ali conceive, Jana akawa analalamika tangu asubuhi kuwa yu aumwa tumbo, jioni akaona hedhi. Akawa Na hofu kuwa huenda ameharibu mimba, Leo asubuhi akaenda kwa dr Na ameambiwa arudi after 7 days.
Muda huu hayupo nyumbani yupo nyumba ya pili kuwapa company makaka wa rafiki zake, is this fair. Kaka hayupo kaaga anaenda kukutana Na wenzake atachelewa kurudi kutakuwa Na mipira ya Ulaya.
Mshauri tu..Haki imebidi tuu nicheke,
Kwahiyo hapo na wewe unaomba ushauri, kweli dunia tambara bovu
Tutakushauri wala usijali.Ana 36yrs Ila hana mtoto. Last month Ali conceive, Jana akawa analalamika tangu asubuhi kuwa yu aumwa tumbo, jioni akaona hedhi. Akawa Na hofu kuwa huenda ameharibu mimba, Leo asubuhi akaenda kwa dr Na ameambiwa arudi after 7 days.
Muda huu hayupo nyumbani yupo nyumba ya pili kuwapa company makaka wa rafiki zake, is this fair. Kaka hayupo kaaga anaenda kukutana Na wenzake atachelewa kurudi kutakuwa Na mipira ya Ulaya.