Jamani wife ana kibendi
sasa amezidi matatizo kila siku yeye anataka maembe,limao, mahindi na
chipsi ndo vyakula vyake vikuu, na hataki chakula kingine kama ugali na
wali, kwenda kazi hataki anataka eti muda wote tukae tuuu funga hataki
nioge eti anataka nishinde bila kuoga hata nikitoka kazini no kuoga
nalala hivyo hivyo eti anapenda harufu yangu si kutesana huko.
Hivi kweli ni mimba au hawa wanawake wanatukomoa.
Furahia anataka ukaribu na wewe. Wengie hua wanalazwa sebuleni kwa miezi tisa.
Kama hutaki akudekee mtafutie wa kukusaidia.
Jamani wife ana kibendi sasa amezidi matatizo kila siku yeye anataka maembe,limao, mahindi na chipsi ndo vyakula vyake vikuu, na hataki chakula kingine kama ugali na wali, kwenda kazi hataki anataka eti muda wote tukae tuuu funga hataki nioge eti anataka nishinde bila kuoga hata nikitoka kazini no kuoga nalala hivyo hivyo eti anapenda harufu yangu si kutesana huko.
Hivi kweli ni mimba au hawa wanawake wanatukomoa.