Huyu vipi, yaani tabia ambazo ilibidi azioneshe mwanzo wa mahusiano anazionesha saiz wakati tuna zaidi ya mwaka

Chagas wanavitabia vinakeraa sana. Piga chini tu , tena kwa ushamba ndo hawajambo
 
Kwanza uko arrogant huna sifa ya kuwa mwanaume wewe ni mvulana siku nyingine usiwe ukiomba ushauri wa kiuanaume wakati akili ikiwa ya kivulana!
mkuu usikake nikifungue kinywa changu nna kinywa kichafu kuliko unavyofikiria,siku ya leo sitaki kumtolea mtu maneno machafu, wanaume wenzio wote wamepita kistarabu na kutoa ushauri vizuri hadi nikawa nashangaa mashoga wa jamii forum leo mbona siwaoni naona wa kwanza umeanza kujitokeza,mashoga mna ishara zenu huwa mnatumia lugha ya picha huwa hamsem kama ni mashoga,naona kwenye avatar yako umeweka jicho, unabahati mbaya mi huwa sili jicho tafuta hao wanaokushikishaga ukuta kila siku.situmii hiyo kitu achana na mimi
 
Kama hapa ndo umetumia busara zote basi pole kwa kumaliza akiba yako yote!
 
Kwakua kaomba msamehe,hebu msamehe uone kama kabadilika,pengine mwenzio alijua hayo ndio mapozi ya mjini,usikate tamaa mapema, makosa humfanya MTU kujifunza,muweke chini mwambie yote anayofanya ambayo hupendezwi nayo kisha muendeleze mahusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom