Huyu ustadhi ataimaliza hii futari kweli?

Huyu ustadhi ataimaliza hii futari kweli?

Kwa jinsi alivyojiandaa na hilo lomao mkononi anaweza kumaliza!
 
Hahaha limao ndo appetizer, menu inashuka mwanzo mwisho

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna watu wanaishi ILI WALE; tofauti na tujuavyo wengi kuwa tunakula ili tuishi!! Kwa POZI, Ustaadhi hii futari kwake ni STARTER tuu....Ataomba aongezeweK-)
 
Back
Top Bottom