Huyu Trafiki vipi?

Huyu Trafiki vipi?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
3c7f1095dd27970b6cf15ddc9af001c8.jpg
 
Pisha njia vinginevyo utachezea ....la kati.!
 
Atakuwa anamfanyia rais hivyo maana ndiye aliyesama maisha bora na hatujayaona...
 
kwa haraka haraka tu hiyo ngoma ilikuwa ni lugalo na hapo naiona ile miti ambayo imepandwa na " wrong doers " haswa wanaopita pembeni, wabishi na wajeuri ila kuhusu hilo tukio ni dhahiri shairi kuwa hapo alikuwa anamonyeshea huyo / wewe uliyekuwa unampiga picha kwani yawezekana hakupenda kupigwa picha na kwa namna nyingine hata wewe / huyo aliyefanya kitendo hicho anatakiwa ajiangalie sana ili siku nyingine asije akakirudia tena kwani ktk medani za masuala ya kiusalama na hasa ihusuyo v.i.p motorcades ni kosa kubwa mno na linaweza likakugharimu. ila askari huyu kimaadili hakutakiwa kuonyesha hicho kidole kati cha kiitwacho " amis tambwe " kwa lugha ya mjini na ya sisi wanamichezo haswa wa soka la bongo.
 
Hapana mkuu. Alimnyooshe huyo aliegoma kutanua barabarani
 
Back
Top Bottom