Hahahahaha traffic kampa signal ya kidole cha kati,mimi akiniandikia atalipa mwenyewe,dah ishara gani hizo...mkuu upo vizuri kwa picha za haraka haraka.
Huyu askari alikuwa anaongoza msafara uliokuwa ukitokea tegeta na hapo ni maeneo ya lugalo na baada ya kushindwa kutokana na msongamano wa magari, hiyo ndo iliyokuwa ishara yake ya kuomba njia
Hahahahaha traffic kampa signal ya kidole cha kati,mimi akiniandikia atalipa mwenyewe,dah ishara gani hizo...mkuu upo vizuri kwa picha za haraka haraka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.