Huyu Traffic hajipendi, aache Sifa!!

Atakua wa Tanzania huyo ndo wanapenda mchezo huo.
 
Huyu ni Askari wa Usalama Barabarani (sio lazima awe wa Tz) hapo amejificha anatafuta wavunja sheria. Nikajiuliza tu, nyoka akimgonga hapo itakuaje? Hizi sasa sifa! View attachment 425532
kwa taarifa yako tu wamejichangisha pesa wamenunua hizo camera...wenyewe ... pesa za kwao... ndo maana kuna kamera kila kichaka ukiwa safarini
 
Mpwa wewe ni mchochezi hahahahahahaa kwahio hizi hazipo kwenye inventory ya Polisi hahahahhaaahahaa au ni za Luuuu-ngumi??
sichochei hebu fanya utafiti sikuhizi kama unaenda lets say moshi ni hatari sana kila pori wamejificha wengine wanavaa kama huyu
 
Mbona yuko peupe tu wala hakuna kichaka cha kuweka nyoka wa kumdhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…