Huyu ticha atanifelisha mazee

Huyu ticha atanifelisha mazee

Kanunue mchina mkuu
Yaanii..... hapo unakuta mume wake ndo amefumaniwa unajiuliza..... Sasa amekosa nini mwanaume huyu..... Unashangaa kabisaa. Mke mzurii labda tabia ndo iwe mbaya.... Ni binadamu wachache sana wameumbwa wazuri wa sura, muonekano, roho nzuri, moyo mwema, upendo wa kweli, waaminifu, watafutaji, wavumilivu, hawana hasira za haraka, muda wote wana furaha, sio wachoyo......et al.
Hapana nimetamani ningekuwa kama huyo mwanamke ili baby wangu afaidi utamu na mofolojia.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakufelisha au ww unataka kukimbia mtihani ??? Fanya mtihani huo ufaulu mambo yako yooote yatakuwa mukideee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ananipa shida saaana[emoji35][emoji35][emoji34][emoji34]
FB_IMG_1576852093209.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom