Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Aug 14, 2018 Thread starter #41 titimunda said: mbegu zake nzuri sana kwa malisho ya mifugo aina jamii ya ndege Click to expand... Ndio maana wengi vimbaumbau!
titimunda said: mbegu zake nzuri sana kwa malisho ya mifugo aina jamii ya ndege Click to expand... Ndio maana wengi vimbaumbau!
titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,565 Reaction score 9,813 Aug 14, 2018 #42 Mshana Jr said: Ndio maana wengi vimbaumbau! Click to expand... hahaha,mi njiwa wangu dayati yao ni mbegu za bangi,wamenawiri hao,alafu zinawapa nyege wanakuwa wanapandana sana,na inawasizisha wanakuwa hawana kelele wala fujo.
Mshana Jr said: Ndio maana wengi vimbaumbau! Click to expand... hahaha,mi njiwa wangu dayati yao ni mbegu za bangi,wamenawiri hao,alafu zinawapa nyege wanakuwa wanapandana sana,na inawasizisha wanakuwa hawana kelele wala fujo.
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,116 Reaction score 28,018 Aug 14, 2018 #43 Mbuzi wana vituko sana niliwahi kuona Mbuzi anakunywa bia,mwingine alifunga mtaa ukikatiza lazima akufanyie kitu kibaya,tena mara nyingi wanakuwa ni hawa mabeberu ndio wana vituko...
Mbuzi wana vituko sana niliwahi kuona Mbuzi anakunywa bia,mwingine alifunga mtaa ukikatiza lazima akufanyie kitu kibaya,tena mara nyingi wanakuwa ni hawa mabeberu ndio wana vituko...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Aug 14, 2018 Thread starter #44 titimunda said: hahaha,mi njiwa wangu dayati yao ni mbegu za bangi,wamenawiri hao,alafu zinawapa nyege wanakuwa wanapandana sana,na inawasizisha wanakuwa hawana kelele wala fujo. Click to expand... π π π π
titimunda said: hahaha,mi njiwa wangu dayati yao ni mbegu za bangi,wamenawiri hao,alafu zinawapa nyege wanakuwa wanapandana sana,na inawasizisha wanakuwa hawana kelele wala fujo. Click to expand... π π π π
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Aug 14, 2018 Thread starter #45 titimunda said: hahaha,mi njiwa wangu dayati yao ni mbegu za bangi,wamenawiri hao,alafu zinawapa nyege wanakuwa wanapandana sana,na inawasizisha wanakuwa hawana kelele wala fujo. Click to expand... Nitakualika kwenye mada yangu ya mmea baadae
titimunda said: hahaha,mi njiwa wangu dayati yao ni mbegu za bangi,wamenawiri hao,alafu zinawapa nyege wanakuwa wanapandana sana,na inawasizisha wanakuwa hawana kelele wala fujo. Click to expand... Nitakualika kwenye mada yangu ya mmea baadae
titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,565 Reaction score 9,813 Aug 14, 2018 #46 Mshana Jr said: Nitakualika kwenye mada yangu ya mmea baadae Click to expand... itakuwa poa sana,mana mie ni mkulima,mtumiaji na mpenzi wa hio kitu
Mshana Jr said: Nitakualika kwenye mada yangu ya mmea baadae Click to expand... itakuwa poa sana,mana mie ni mkulima,mtumiaji na mpenzi wa hio kitu