Huyu sijui anatokea wapi

Dotto Mnzava

R I P
Joined
Mar 6, 2014
Posts
864
Reaction score
427
Nimeshindwa kuelewa kwamba tatizo ninini hadi mpendwa huyu ameamua kufikia hapa

 

Attachments

  • Duh!.jpg
    35.1 KB · Views: 1,470
Haya ndio mambo yanayoendelea kwenye sherehe nyingi za kibongo



 

Attachments

  • 11214052_10153284559293400_7559892151800787201_n.jpg
    31.3 KB · Views: 1,220
  • 11401371_10206480110338153_8073763932978981904_n.jpg
    33.4 KB · Views: 1,501
ha ha huyo jamaa wa juu kaweka juice mfukoni
 
Hiyo halali yao kabisa mkuu, unachangia 100000 thamani ya huduma utakayopewa pengine haifiki hata robo ya mchango.
 
NI ukata tu huo unaosababishwa serikali sikivu ya Magamba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…