Huyu si mtu ni mapupu

Wapumbavu wawili wanapokutana hutengeneza ujuha wa kujifariji kwakuwa fikra zao ni kimo cha mbilikimo na uono wao ni mwisho wa pua zao zilizofutika uvundo... Kuna kujiita GT na kuwa GT.... Ni dhana mbili tofauti kabisa
Uzuri wa jf hatufahamiani una haki ya kujisifu,sawa GT
 
Uzuri wa jf hatufahamiani una haki ya kujisifu,sawa GT
Usiishi kwa hisia.... JF tunafahamiana wengi tuu... Ujinga ni ada, upumbavu ni sifa... Kama hujanielwa niambie nitakufafanulia
 
 
Kwa kifupi uchawi haupo acha kucheza na akili za watu mkuu.
 
Samahani sana mshana kiukweli Mimi nakosa la kufikiri kila nikiwaza.kila nikimtafutia kosa huyu bashite nalikosa.mimi nadhani tunapaswa tujue ukweli kwamba bashite Ni kijana fulani mwenye madharau Hilo sikatai lakini ana misimamo na uthubutu ambao umekosekana kwa Viongozi wengi.dharau,kejeli,sifa,sio sababu za Kum disqualify
Sijui anafeli wapi kwa upande wenu maana Kama Ni kwa kauli za kukera Mimi siwezi Kum judge mtu kwa maneno ambayo ameyatamka ndani ya nusu saa katika LUNINGA wakati ana masaa mengi nje ya camera ambayo wengi hatuyajui.maisha yake halis pamoja na kazi zake..Sasa at least ningeweza kuona mabaya yake(maovu) ndipo ningeweza kwenda sawa na nyie.samahani mshana hili ndilo niliwazalo.
 
Uchawi upo ni kutokuupendelea tu huo upande maana utakula maisha ya furaha muda mfupi sana
 
Mdogo wangu ndege JOHN... Jifunze kwa waliokutangulia nafahamu mapenzi uliyonayo kwa huyu mtu na watu wa upande wake... Siwezi kukulaumu na siwezi kukupangia maisha.... Nafahamu una mada nyingi tu za kusifu huku na kutukana kule.... Ushauri wangu kwako ni huu... Bado una mengi unahitaji kujua hivyo jifunze tafakuri
 
Ukipata na chapati laini laini
za msukumio kuhifadhiwa kwapani, usaf ziro mna bado watu wanazifakamia
vya bei rahisi vina walaji wengi aiseee
kunadiwa kweke machinjioni nyama linapofika buchani zamani sana lishachemshwa,
kila mtu ana uhuru wakuchagua pande lake he he he he he he

duuu mapupu haya majuzi kati yalikosa soko aisee hadi yakaanza kufosiwa kuuziwa watu
 
 
Umejizindika vya kutosha kabla ya kuzungumzia pupu? Ama umeogea kilingeni ndipo ukaja na uzi huu kuhusu mapupu?
Haijapata tokea watu wakazungumzia pupu ama mapishi yake japokuwa wanayasema mapupu kila uchao ijapo buchani hayaonekani!!!
Kabisa ni kweli inaonekana kuna siri kuu katika mapupu.
 
Na mimi... tupilia mbali dhana yake..... Yakitayarishwa vizuri hasa kama nyumbani mmechnja mnyama kama mbuzi ni mazuri sana... hasa kwa mtu mwenye hangover. Supu yake nzuri!
Ahahahahha
 
umepanda daraja... Sijawahi kuona kiporo cha no 11 au cheni bloku
Ahahahah.Hapana mkuu
Kwasasa maeneo nayoishi ni ngumu kukutana na hizo mambo halaf na company ile ya kiuswaz siko nayonin touch tena maana ndio tulikua tunahamasishana.Pia nature ya mishe uswahil tofaut sana na sasa mayoyafanya maana kabla hatujaingia mzigon ilikua lazima utafute supu ya mapupu!!!the old days ....
 
Dah! Mi naondoka na neno Nguvu za Giza zipo...hayo mengine nawaachia wengine... iri mradi nashushia na Supu ya mapupu.


Alivyojitutumua ktk hiyo picha..utadhani kifutu...

Baba Askofu kashindwa kula/kunywa supu ya mapupu....kapigwa na butwaa mpaka mpishi kamuomba msamaha.

Hatari sana


Ngoja
kisirisiri

Pupu halina radha lkn linapita fresh mdomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…