Habari zenu wakuu,
Naombeni mawazo yenu,
Dada yangu kanifuata leo ofisini akinieleza matatizo yake kama kaka yake ukweli nimemwambia asubiri mpaka kesho nitampa jibu.
Dada yangu ameolewa na mtu mwenye cheo kikubwa tu serikalini cha ajabu wana miaka zaidi ya kumi hawana hata kibanda wamepanga jumba tu la maana.
Anavyonieleza amemshauri sana mumewake wajenge, hataki mwishoni mwanaume akamwambia chukua mkopo anza utakapoishia nitamalizia.
Akaomba mkopo kapewa mwanaume kujua mke kapata mkopo tena hataki kutoa ushirikiano, akimuuliza kama mume basi tafuta fundi anamwambia unaharaka gani? Toa basi ramani anamwambia subiri huu mwezi wa 2 mkopo uko tu benki hata hazungumzii kabisa habari za kujenga nanachokazania kila saa nikumweleza jinsi alivyo na madeni mara hela imepungua anataka kuagiza gari.
Wakuu dada yuko njia panda na mimi kuingilia maisha yao sitaki, je nimshauri afanye nini?