Huyu Shem simuelewi aisee...

Huyu Shem simuelewi aisee...

Bad ass boy fucking all the beautiful ladies around you including their best friends hahahahaha lol! Umenikumbusha site moja huwa napenda kuitembelea. Jamaa aliuliza warembo kama wangeweza kuwa wanaume kwa wiki tu ni kitu kipi wangependa kukifanya ndani ya hiyo wiki moja. Kwa mshangao wangu wengi walidai wangependa ku***mba wanawake wengi kadri watakavyoweza😡😡😡

Kabisa yaani ningekuwa bad ass.
 
Yaani ungekuwa mwanangu ningekupiga shaba kabisa unaletewa chakula then unasusa khaaaaa
 
hv humu JF wote wana maisha ya kizungu eeeh... mbona kila post mtu lazima awe na gari na nyumba... lazima awe na maisha flani amazing..... kwahiyo peke yangu choka mbaya... 😀😀😀😀😀😀
 
Aisee juzi hapa,mpenzi wangu alipitia home na best ake! Ofcoz she's cute bwana(mashalaah) hamzidi kipenzi changu! and huyo shem ndie alikuwa na usafiri so nikama waliongozana tu!

Nikawakaribisha mangwair(sitingroom), story hapa na pale,huku tukipasha koo na movie mbili tatu! Shem huyo alikuwa akinisifia kuwa kuwa eti me mcheshi sana aisee!! Basi bwana hatimae wakaaga, kama kawaida yangu huwa sijivungi,walipofika kwenye gari makiss moto moto kwa mupenzi...

sasa Leo ikiwa zimepita siku 3 tu,Yule Shem kaja mwenyewe mangwair(ghetto),nikamkaribisha ndani, eti anamuulizia rafiki yake! Duh nikamjibu kwani Leo hamjaonana ofisini,bt maelezo yake hayajaeleweka,akaanza kujibaraguza eti basi naomba ile movie ambayo niliwawekea juzi akaitazame kwake,bila iyana nikampatia
Bt Wakati namtoa akaomba namba eti ili kama anairudisha anicall! Aisee
Nikagoma mwanaume kwakuhisi isije kuwa kamchezo nachezewa!
Anway wacha nione game inakoelekea!!
we mpakue acha ujinga
 
Bad ass boy fucking all the beautiful ladies around you including their best friends hahahahaha lol! Umenikumbusha site moja huwa napenda kuitembelea. Jamaa aliuliza warembo kama wangeweza kuwa wanaume kwa wiki tu ni kitu kipi wangependa kukifanya ndani ya hiyo wiki moja. Kwa mshangao wangu wengi walidai wangependa ku***mba wanawake wengi kadri watakavyoweza😡😡😡
Kabisaaaaaaaa. Niseme tu ukweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hv humu JF wote wana maisha ya kizungu eeeh... mbona kila post mtu lazima awe na gari na nyumba... lazima awe na maisha flani amazing..... kwahiyo peke yangu choka mbaya... 😀😀😀😀😀😀
Heeh..mkuu mbona hakuna nilipoainisha kuwa Nina nyumba wala gari.
 
Back
Top Bottom