Huyu Shem simuelewi aisee...

Huyu Shem simuelewi aisee...

Unngempa hata namba yangu tu sasa wew nawe hovyo kweli!
 
Ukitaka kujua mambo/tabia mbaya za mpenzi wako basi tembea na rafiki/best yake. Atakwambia siri zote usizozijua kuhusu mpenzi wako na mambo kedekede.
Kwahiyo mkuu niwashe Goma hili la manzese
 
Aisee ningekuwa kidume hapa story tofauti.

Daadeqi, kitu ishaanguka yenyewe ghetto siwezi iachia kiboya hivyo.

😀
Kwahiyo me nimeiacha kiboya mkuu
Basi wacha niseti dish Wakati analeta CD nimuwashie decoder
 
Sasa na wewe unakuwa kama sio mwanaume, Namba tuu umemnyima je angekuomba mengine
Nalinda uanaume wangu Dada....
Ila wait aliwe bila namba
Kuna mtu kanipa script PM
 
Kwanini hukumkula leoleo, yaaan kajileta mwenyewe alafu kidume umeshindwa kutafuna, unatutoleaa tu povu hapa, ungetafuna alafu ndio usikilizie feedback.
Sawa X-pen, wacha arudishe CD sasa mkuu mbona makeke mzee
 
Acha ufwala hahahah sasa huyo si ndio angekua spare tyre..? Vijana wa sikuizi bwana, mwenye mali akikutegeshea mwambie kama ameshamsikiza nabii Tito akae kimya
 
Back
Top Bottom