Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,170
- 8,622
Pamoja na kutoa baraka kwa vyombo vya dola kuwapoteza Watanzania ili amani iendelee kuwepo. Sheikh huyu amedai kuwa yeye alisikia kwa masikio yake Lissu akisema tutakinukisha.
Amekazia kuwa Lissu alipelekwa Mahakamani ili akatoe tafsiri sahihi ya kukinukisha.
Kwa mantiki hii na muktadha huu huyu ni shahidi muhimu sana kwa Jamhur. Na kwa nini wanakaa na Lissu kwa zaidi ya miezi mitatu huku kumbe wana mashahidi na ushahidi uliokamilika?