Huyu Rose Ndauka Huyu......

Ni pesa yako tu mkuu, kama uko poa kidogo no problem mbona utamcameroon tu, mtoe out sehem poa like night club apate moja baridi then faster palepale tena hata kufuli hawapendelei kavaa esp. night. utajipimia faster.
duh haya yote umeyajuaje?
 
Ni huyu?

ndauka.gif
 
kakaaa umemuangukiaaa sio chungaa usiangukie puaaa mzeee,ukatoka meno ya kibarazani
Jmani wadau nimemfia na kumdondokea huyu mtoto balaa.....yaani kwenye movie tu mi hoiiii kuna mwenye contact zake wadau? au anapatikana mitaa gani.....nimshughulikie..
 
Juzi nimemwoana akihojiwa Clouds TV akiwa ameambatana na mumewe mtarajiwa. Don't belittle her, she seems to be very focused with her life.
 
Juzi nimemwoana akihojiwa Clouds TV akiwa ameambatana na mumewe mtarajiwa. Don't belittle her, she seems to be very focused with her life.

Kuna watu wana roho za kupe humu.Kila mtu wanamponda tu.Halfu nishajua watu wanaosingizia wengine tabia mbaya na wao ndivo walivo hivo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom