Huyu roomate vipi?

Huyu roomate vipi?

xYz07

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,077
Reaction score
5,918
Mimii ni finalist wa chuo flani hapa hapa TZ, nina girlfriand wangu hapahapa chuoni but ishu inakuja pale anapokuja kunitembelea room, maana kuna jamaa nakaa nae hapa (roomates) huwa simueliwi kabisa, kila mara gf wngu akija basi jamaa ndio anakua muongeaji mkuu, kila maada hata kama haijui na haimuhusu anadakia.

Inaweza ikatokea jamaa anasoma lakn akija girlfriand wangu tu basi jamaa anaacha kila anachofanya anakuja sehemu tuliyokaa nae anakaa afu ndio anakua muongeaji mkuu, kiukweli anaboa sana maana mda mwngne tunaweza tukawa serious mezani tunapiga msuli lakini jamaa mara afungulie mziki volume ya juu.

Mara aje kwenye PC yangu kana kwamba kuna kitu anatafuta, but nae ana gf wake lakn ye akija mi nakua sina time nae labda nishirikishwe kdgo ndio nachangia naogopa kumwambia mshikaji maana nitakua kama naingilia uhuru wake pia itaonekana namjali girl kuliko mwana but infact the guy is real sturbbon, nimwambie jamaa au nifanyeje na kibaya zaidi asipokuja hata wiki moja ye ndio anakua wa kwanza kumulizia.

Naombeni ushauri jamani
 
room .mate and not mates mi nkajua wako wengi.

hebu kaa naye mweleze jinsi ambavyo hupendi ukiwa na gf wako mmekaa aje awabanie kuongea mambo yenu. kwan yapo mengi ambayo hastahili kuyasikiliza
 
room .mate and not mates mi nkajua wako wengi.

hebu kaa naye mweleze jinsi ambavyo hupendi ukiwa na gf wako mmekaa aje awabanie kuongea mambo yenu. kwan yapo mengi ambayo hastahili kuyasikiliza

ni mmoja tu kiongozi hawa wengne niwaelewa
 
mtu kama huyo unavyomvumilia ndo tatizo linakua loo mpe makavu asijifanye yeye kauzu. au ndo akiwaachia nafasi basi mtaonyeshana manjonjo kama mko chumban ndo maana anaamua kuwakatisha
 
mtu kama huyo unavyomvumilia ndo tatizo linakua loo mpe makavu asijifanye yeye kauzu. au ndo akiwaachia nafasi basi mtaonyeshana manjonjo kama mko chumban ndo maana anaamua kuwakatisha

ishu sio kutuachia room, ishu ni kwamba anadakia hata mambo yasiyo muhusu, imefikia hatua hata gf wng mwnyewe alishawah kuongea kuwa huyu jamaa yako vp, huwa anamuita "much know"
 
Usichukue mawazo ya kijinga.Katika maisha waru huwa na tabia tofauti na hata hisia, inawezekana yeye anajaribu kuwa mtu wa kawaida na karibu sana kwenu nyie couple, pengine katika kulifanya hilo anajikuta anazidisha mpaka inakuwa kero, lakini si kwania mbaya.

Usigombanenae, mueleze mwenza wako tu unavuomchukulia na mukaenae kwa amani.Mmegaji si lazima amuone hapo na ajisogeze mbele yako, ilimradi ameshamjua anaweza kumtafuta kwingine, na anaekumegea pengine humjui hata kwa kumuona na wala hutamjua, kuwa na amani
 
Katika maisha yako ulishawahi kusikia neno "kumegewa"

Basi ndo kama hivyo.

jamaa anammendea huyo demu sa chakufanya we msikilizie nakama vp naww anza kumshobokea demu wake af tulia uone yaan kuw silias na dem wake
 
Back
Top Bottom