Huyu roomate vipi?

Huyu roomate vipi?

Inategemea urafiki wenu na uyo jamaa ukoje,kama ni mtu mliekutana nae chumbani kama roommate halafu ndo mkawa marafiki hapo kuna namna na uko sahihi kabisa kuanza kuhofia...ila kama ni rafiki ambaye mmejuana kitambo may be tangu sekondar au homeboy wala usihofie,mwambie laivu tu kuwa shemeji yake hapendezwi sana na tabia yake.
 
Mimii ni finalist wa chuo flani hapa hapa TZ, nina girlfriand wangu hapahapa chuoni but ishu inakuja pale anapokuja kunitembelea room, maana kuna jamaa nakaa nae hapa (roomates) huwa simueliwi kabisa, kila mara gf wngu akija basi jamaa ndio anakua muongeaji mkuu, kila maada hata kama haijui na haimuhusu anadakia.

Inaweza ikatokea jamaa anasoma lakn akija girlfriand wangu tu basi jamaa anaacha kila anachofanya anakuja sehemu tuliyokaa nae anakaa afu ndio anakua muongeaji mkuu, kiukweli anaboa sana maana mda mwngne tunaweza tukawa serious mezani tunapiga msuli lakini jamaa mara afungulie mziki volume ya juu.

Mara aje kwenye PC yangu kana kwamba kuna kitu anatafuta, but nae ana gf wake lakn ye akija mi nakua sina time nae labda nishirikishwe kdgo ndio nachangia naogopa kumwambia mshikaji maana nitakua kama naingilia uhuru wake pia itaonekana namjali girl kuliko mwana but infact the guy is real sturbbon, nimwambie jamaa au nifanyeje na kibaya zaidi asipokuja hata wiki moja ye ndio anakua wa kwanza kumulizia.

Naombeni ushauri jamani

Mchane live jomba,aache kuzingua
 
Kuchapiwa siri ya ndani. Tehe.
Mueleze ukweli akizingua tembeza kibano. Lol
 
wewe ni mbinafsi, mchoyo, unawivu kama m/mke, humwamini gf wako, not interactive.

unadhani jamaa anaweza kukuibia gf wako. suluhu, msiwe mnakutana room muonane nje or else somewhere
 
Jamaa si huwa mnamsifia kuwa ni mcheshi sana sasa ndo anaonyesha ucheshi wake,sasa nn tatizo?
 
Back
Top Bottom