Hawashangai kwa mtazamo wako na wala hawasifii kama unavyofikiri,wanashangaa fedha kapata wapi wakati chuo kamaliza juzi na pia kwanini awe tajiri baada ya baba yake kushikiria opfisi ya umma.Ni icho tu mama wala hakuna jingine linalowauma watanzania ambao hawajui kesho wataamka vipi.Watanzania wajinga kweli, zamani ilikuwa kila kitu kikubwa ni cha "kizungu", sasa kwa ule ule umbumbumbu ni cha "Rais" au "mtoto wa Rais".
Hivi kwa upuuzi kama huu mnategemea mtaendelea? mimi nasema "mawee".
Badala ya kutwa kukaa kusifia vya wanaume wenzenu na nyinyi ingieni wivu wa kufanya si kusengenya, wasengenyaji wakubwa nyie.
Mkulo, Maige, Ngeleja kikaangoni TAKUKURUWatanzania wajinga kweli, zamani ilikuwa kila kitu kikubwa ni cha "kizungu", sasa kwa ule ule umbumbumbu ni cha "Rais" au "mtoto wa Rais".
Hivi kwa upuuzi kama huu mnategemea mtaendelea? mimi nasema "mawee".
Badala ya kutwa kukaa kusifia vya wanaume wenzenu na nyinyi ingieni wivu wa kufanya si kusengenya, wasengenyaji wakubwa nyie.
Endelea kushangaa hivyo hivyo!
ila mwambie dogo ajifunze kutoka kwa Al-Islam prince mwana wa Gaddaf yupo wapi sahz? saa ya ukombozi ipo njiani yaja, tutawapokonya kila kitu.
Mkulo, Maige, Ngeleja kikaangoni TAKUKURU
inayozungumzia waliokuwa mawaziri 3 kuwa wanachunguzwa na TAKUKURU na kuwa wameamliwa kuwa wanaripot kila siku saa 3 asubuhi...
Hawa jamaa(ngereja,mkulo na maige) hata wakichunguzwa na hata wakiamliwa kuwa wanaripori TAKUKURU kila baada ya dakika 5 hawawezi kuchukulwa hatua yoyote.
Nasema hawawez kuchukuliwa hatua yoyote maana mali niyngi walizopata kwa njia ya udanganyifu zina Baraka toka kwa rais kikwete.. na pengine niseme kwamba kuondoka kwa hawa mawaizri ni pigo kwa kikwete mwenyewe maana sasa mtiririko wa deal alizokuwa akifanya kupitia kwa hawa jamaa zimeingia doa na inabidi aanze upya.
Mali haramu walizochuma hawa mawaziri zina baraka ya mkuu wa nchi kwa sababu nae anashiriki katika kuiibia nchi kupitia baadhi ya mawaziri anaowaweka hasa kati wizara nyeti..
Ngoja nitoe mfano juu ya maige
Mwaka jana kuna taarifa zilipatikana juu ya maige kuwa ameuza vitalu bila kufata taratibu..taarifa zile zililazimu uchanguzi wa kina nawa kiinteligensia kufanyika..mwaka jana hiyo hiyo mwezi wa 8 huko arusha katka hotel ya Kibo palace maige alikabidhiwa pesa taslimu mil 600(TSH) kama malipo ya vitalu alivyogawa kwa kampuni hiyo. Ndani ya hoteli kulikuwa na vjana wa TISS maana taarifa walikuwa nazo juu ya deal hilo na mara baada ya malipo hayo kufanyika; vijana waliingia chumban na kumuweka maige chini ya ulinzi...maige alijawa na uoga sana baada ya hapo alihojiwa kwa zaidi ya saa mbili..maelezo ya maige yalitoa picha kuwa mkuu wa nchi anahusika maana maige alisema kwa mdomo wake kuwa ni kweli amegawa vitalu lakin hata yeye amekuwa akipokea maagizo toka kwa mkuu wa nchi ..alieleza jinsi mkuu wanchi anavyohusika na kusafirisha pembe za ndovu hasa katika mbuga ya ruaha kazi inayosimamiwa na ISSA ASSASI..
Maige pia alieleza jinsi mkuu wa nchi pamoja na viongozi wengine wa nchi kama lukuvi,luhanjo(aliyekuwa katibu mkuu kiongozi)yeye mwenyewe maige na katibu wake, jinsi wanavyofanya biashara ya kupasua mbao na kusafirisha kutoka msitu wa Sao Hill huko Iringa pasipo kulipia garama zozote za msitu...alieleza mengi lakini mwisho wa siku taarifa hiyo ilipofikishwa makao makuu ilileta mtafaruku mkubwa hali ambayo ilipelekea mmoja wa wakuu wa idara kuondolewa kweye idara na kupelekwa nje ya nchi katika moja ya balozi zetu huko kwa kile kilichodaiwa kuwa kwa nini amefatilia na kutuma vijana kwenda kumkamata maige..
Ngereja nae vivyo hivyo,ngereja amefanikiwa kwa kias kikubwa kwa mkuuwa nchi kupata migodi au kuwa mmoja wa wamiliki wa migodi..ngereja amefanikiwa pia kuhakikisha mkuu wan nchi anapata dhahabu toka kwa kila mgodi uliopo hapa nchi unaomilikwa na kampuni za kigeni...sasa ni katika deal hizo na wao wanapiga cha juu ..
Mkulo amefanikisha kwa kiasi kikubwa kununua na kusafirisha na kuyaingiza nchini magari ya mizigo na mafuta amabayo yote ni mali ya mkuu wanchi...leo mnapoona hizo vogue na vx zimepak ni sehemu ndogo sana ya kile alichoiba .....
Leo ninapoona TAKUKURU wanafatilia swala hili ni kiini macho maana najua hakuna lolote watakalofanywa na TAASISI KIBOGOYO hiyo...
Mwiba mkali na mbaya uliomo katika nchi ni huyo Rais wa nchi..huyu ndiye anapowachagua hawa mawaziri huwachagua akiwa na maslahi binafsi kwa kuwambia '' HAKIKISHA Napata hiki au kile..hili neno HAKIKISHA ndilo huwapa kiburi mawaziri na wanaposhika nyazifa hzo huanza kuiba na kufanya ubadhirifu mkubwa maana wanatii lile neno ''HAKIKISHA'' na wakati huo huo na wao wakinufaika na hilo neon HAKIKISHA na ndio maana mnaona wananunua majumba, wanatoa mil 500 majimboni kwao, na wengine wananunua apartments na mengine mengi. Lakini anayebaka nchi hii kinyume na maumbile bila huruma ni mkuu wa nchi..anzeni na huyu ambaye ndiyo tatizo maana hata juzi kashauriwa kutowangiza katika baraza la mawaziri baadhi ya wabunge lakini alikataa mmoja wa wabunge hao ni steven masele....
Bado kuna giza nene katika uongozi wa nchi
haki ya nani kuna siku atapigwa mtu nchi hii... ikishajulikana manake tushachoka sasa wengine wanalia wengine wanacheka.
ngoja mda ufike kwa wote wanaolia watake kucheka
aggggggggrrrrrrrrrrrrryyyyyyyyyyyyyy
endeleni kuiba endeleeni kufisadika kuhonga,kununua magari ya kifahari, ardhi na kutumia rasilimali zetu watz vibaya ila kuna siku inakuja mtarudisha vyote, ujanja wenu ni leo na kumbukeni kila chenye mwanzo kina mwisho wake.
Sasa hivi chekeni jioneni kama nchi ni yenu itumieni vibaya kupokonya na kuiba haki za watu wengine.
*@%&*-++#*/-%/%-+#-&-+-/-+++aaaaaaagggggrrrrrrrrrrryyyyyyyyh
nina hasira sana kila ninapoona hivi...
ngoja nilale....nikasali kesho.
Husein Mubarak. awe mfano kwenu
Naona una usingizi hujui hata unachoandika,Mramba kafungwa lini wakati kesi yake inapigwa danadana?kuhuisu TAKUKURU fuatilia maoni ya Mkurugenzi wa TAKUKURU kwenye tume ya katiba alisema nini kuhusu uhuru wa taasisi anyoiongoza,acha kudanganya watanzania wenzako.Tatizo mnasoma elimu ahera sana alafu mnataka madaraka.Na penye milioni 600,Maige kandanganya?kanusha.Wacha upunguani. Hiyo TAKUKURU imepewa meno na Kikwete, walikuwa na uwezo wa kuchunguza mawaziri au mawaziri wa zamani? wakati wa Kikwete tumeona mpaka kina Mramba wakifungwa. Upo hapo ulipo.
Na wakikutikana na hatia kesi ni mahakamani. Hilo la kufikishwa tu TAKUKURU ni hatua moja nzuri sana na Serikali ya Kikwete inabidi isifiwe.
Wacha upunguani. Hiyo TAKUKURU imepewa meno na Kikwete, walikuwa na uwezo wa kuchunguza mawaziri au mawaziri wa zamani? wakati wa Kikwete tumeona mpaka kina Mramba wakifungwa. Upo hapo ulipo.
Na wakikutikana na hatia kesi ni mahakamani. Hilo la kufikishwa tu TAKUKURU ni hatua moja nzuri sana na Serikali ya Kikwete inabidi isifiwe.
Ndio mkuuuuuuuuuuuuu salute kwa post yako 100%.....Endelea kushangaa hivyo hivyo!
ila mwambie dogo ajifunze kutoka kwa Seif Al-Islam prince mwana wa Gaddaf yupo wapi sahz? saa ya ukombozi ipo njiani yaja, tutawapokonya kila kitu.
jambo wakuu,nimekua safarini kikazi sehemu mbalimbali ndani ya nchi naleo niko simiyu kunajengo zuuuri linajengwa karibu na stand mpya nilipo muuliza mwenyejiwangu ni lanani nikaambiwa ni la ridhiwani nikashangaa kila mkoa unapopita ukikuta jengo zuri, malori yamafuta, vituovya mafuta nk ukiuliza ni vyanani unaambiwa ni vya riziwani ,,,swali huyu riziwani ndio nani??

Ila naona kama imekuwa too much. kila jengo jipya au investment mpya utasikia ni ya Ridhiwani.
Juzi juzi nilitembelea mitaa ya Tabata Kinyerezi nikakuta bonge la jumba la kuvutia, nilipouliza wenyeji wangu wakaniambia mmiliki ni Ridhiwani.
kiwanda kipya kinachojengwa Chalinze, nilipouliza wenyeji wakasema mmiliki ni Ridhiwani.
Nilienda kuweka mafuta pale fuel station mpya ya Big bon Mori sinza nikaambiwa ile station inamilikiwa na Ridhiwani.
Biashara ya madawa ya kulevya, anatajwa huyu huyu Ridhiwani.
Fuel zote za Lade oil inasemekana ni za ridhiwani.
Mwaka juzi kuna semi tela ziliingia bandari wadau wakasema ni za Ridhiwani.
Nshindwa kuelewa aisee!!
Watanzania wajinga kweli, zamani ilikuwa kila kitu kikubwa ni cha "kizungu", sasa kwa ule ule umbumbumbu ni cha "Rais" au "mtoto wa Rais".
Hivi kwa upuuzi kama huu mnategemea mtaendelea? mimi nasema "mawee".
Badala ya kutwa kukaa kusifia vya wanaume wenzenu na nyinyi ingieni wivu wa kufanya si kusengenya, wasengenyaji wakubwa nyie.
Usalama wa taifa wakikufata nyumbani utaanza kujikojolea kabla hata hawajakuanzia kazi. Tuseme ukweli, watanzania tutabakia kupiga kelele ndani mtandaoni tuu. Mkijadia kuandamana, mtaletewa FFU. Mnapigwa virungu mnafyata mikia.
Na mademu wakali wote anawala yeye ulizaa
haki ya nani kuna siku atapigwa mtu nchi hii... ikishajulikana manake tushachoka sasa wengine wanalia wengine wanacheka.
ngoja mda ufike kwa wote wanaolia watake kucheka
aggggggggrrrrrrrrrrrrryyyyyyyyyyyyyy
endeleni kuiba endeleeni kufisadika kuhonga,kununua magari ya kifahari, ardhi na kutumia rasilimali zetu watz vibaya ila kuna siku inakuja mtarudisha vyote, ujanja wenu ni leo na kumbukeni kila chenye mwanzo kina mwisho wake.
Sasa hivi chekeni jioneni kama nchi ni yenu itumieni vibaya kupokonya na kuiba haki za watu wengine.
*@%&*-++#*/-%/%-+#-&-+-/-+++aaaaaaagggggrrrrrrrrrrryyyyyyyyh
nina hasira sana kila ninapoona hivi...
ngoja nilale....nikasali kesho.
Husein Mubarak. awe mfano kwenu
Hii comment haiwezi pita hivi hivi.
Wafanyabiashara na matajiri dunian wanazo record za alianza hapa,akatumia fursa hii,pale alishindwa,mwaka uliofuta alinyanyuka tena na mengi mengineyo.
Leo tanzania kijana aliyemaliza chuo kikuu miaka mitano iliyopita ktk fani ya sheria kawa tajiri mkubwa.je pesa kapata kutokana na fani yake?wapi alipoanzia biashara?je wapi anako kopa wengine hawana vigezo?.vituo vya mafuta,supermarket,magari ya mizigo,majengo vyote vya mtoto wa rais sasa tukihoji uhalali wake!TUNAONEKANA TUNA WIVU,AU WATU TUSIOJALI MAENDELEO YETU NA KUJADILI YA WENGINE.mbona hatuwajadili watoto wa Mengi,Bakresa?
HATA SHETANI ANA WATETEZI WAKE