Huyu Ridhiwani ninani???

Huyu Ridhiwani ninani???

Status
Not open for further replies.

Butundwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
303
Reaction score
52
jambo wakuu,nimekua safarini kikazi sehemu mbalimbali ndani ya nchi naleo niko simiyu kunajengo zuuuri linajengwa karibu na stand mpya nilipo muuliza mwenyejiwangu ni lanani nikaambiwa ni la ridhiwani nikashangaa kila mkoa unapopita ukikuta jengo zuri, malori yamafuta, vituovya mafuta nk ukiuliza ni vyanani unaambiwa ni vya riziwani ,,,swali huyu riziwani ndio nani??
 
Ni mtoto WA raisi. Je Kuna makosa kuwa hivyo?
Nalog off
 
ridhiwani wapo wengi hata hapa jf yupo na mwingine ni mtoto jakaya. Mtaani kwangu pia yupo riz1 yeye anaziba pancha baiskeri. Huliza vizuri watakwambia tu ni riz yupi huyo
 
Endelea kushangaa hivyo hivyo!
ila mwambie dogo ajifunze kutoka kwa Al-Islam prince mwana wa Gaddaf yupo wapi sahz? saa ya ukombozi ipo njiani yaja, tutawapokonya kila kitu.
 
Endelea kushangaa hivyo hivyo!
ila mwambie dogo ajifunze kutoka kwa Seif Al-Islam prince mwana wa Gaddaf yupo wapi sahz? saa ya ukombozi ipo njiani yaja, tutawapokonya kila kitu.
 
Watanzania wajinga kweli, zamani ilikuwa kila kitu kikubwa ni cha "kizungu", sasa kwa ule ule umbumbumbu ni cha "Rais" au "mtoto wa Rais".

Hivi kwa upuuzi kama huu mnategemea mtaendelea? mimi nasema "mawee".

Badala ya kutwa kukaa kusifia vya wanaume wenzenu na nyinyi ingieni wivu wa kufanya si kusengenya, wasengenyaji wakubwa nyie.
 
Huyo Ridhiwani ndiyo mwenye hilo jengo. Ati ni nani! Ni huyo mwenye jengo lake au unataka akuuzie, kasema hauzi. Kwani Msajili wa Majumba ni nai? Kila unapoenda kuna msajili wa majumba. Ni nani? Kapange pale, utamwona akija chukua kodi yake. Full stop.
 
haki ya nani kuna siku atapigwa mtu nchi hii... ikishajulikana manake tushachoka sasa wengine wanalia wengine wanacheka.
ngoja mda ufike kwa wote wanaolia watake kucheka
aggggggggrrrrrrrrrrrrryyyyyyyyyyyyyy

endeleni kuiba endeleeni kufisadika kuhonga,kununua magari ya kifahari, ardhi na kutumia rasilimali zetu watz vibaya ila kuna siku inakuja mtarudisha vyote, ujanja wenu ni leo na kumbukeni kila chenye mwanzo kina mwisho wake.

Sasa hivi chekeni jioneni kama nchi ni yenu itumieni vibaya kupokonya na kuiba haki za watu wengine.

*@%&*-++#*/-%/%-+#-&-+-/-+++aaaaaaagggggrrrrrrrrrrryyyyyyyyh
nina hasira sana kila ninapoona hivi...

ngoja nilale....nikasali kesho.

Husein Mubarak. awe mfano kwenu
 
Wewe unaleta post ya kujua mwanaume mwenzako halafu iweje sijui unamuuongelea ridhi yupi wa mama said au yule wa kidinda kwanza jengo lipi unaloongelee stand ya somanda au bariadi mjini hebu dadavua kwanza ueleweke.
 
Endelea kutembea nchi nzima kushangaa vya wenzako badala ya kujipanga kimaisha utashangaa kunakucha na uzee unakukuta hujafanya lolote.
 
Watanzania wajinga kweli, zamani ilikuwa kila kitu kikubwa ni cha "kizungu", sasa kwa ule ule umbumbumbu ni cha "Rais" au "mtoto wa Rais".

Hivi kwa upuuzi kama huu mnategemea mtaendelea? mimi nasema "mawee".

Badala ya kutwa kukaa kusifia vya wanaume wenzenu na nyinyi ingieni wivu wa kufanya si kusengenya, wasengenyaji wakubwa nyie.

kiongozi bora nilimwe ban lakini sitakubali maneno yako makali uliyoyatumia hapa.
Sidhani kama hizi tuhuma ni za uongo na tunachokisema au kulalamika hapa si wivu wa maendeleo ni namna rasilimali zetu zinavyotumika vibaya kwa baadhi ya watu hali watz wengine wanalia....

We will complain until we get equality.

Hiki kitu hakiwezekaniiiiiiii huwezi kutetea uovu tukakuacha hivi hivi I must tell you the truth kwamba " Acha kutetea uovu".
 
Wewe unaleta post ya kujua mwanaume mwenzako halafu iweje sijui unamuuongelea ridhi yupi wa mama said au yule wa kidinda kwanza jengo lipi unaloongelee stand ya somanda au bariadi mjini hebu dadavua kwanza ueleweke.

#simiyu na wewe ni walewale?
 
Work hard you will be rewarded.... Kazi huleta maendeleo na Mfanyabiashara hukutana na mapa kila siku na hujifunza mbinu zaidi...
 
kiongozi bora nilimwe ban lakini sitakubali maneno yako makali uliyoyatumia hapa.
Sidhani kama hizi tuhuma ni za uongo na tunachokisema au kulalamika hapa si wivu wa maendeleo ni namna rasilimali zetu zinavyotumika vibaya kwa baadhi ya watu hali watz wengine wanalia....

We will complain until we get equality.

Hiki kitu hakiwezekaniiiiiiii huwezi kutetea uovu tukakuacha hivi hivi I must tell you the truth kwamba " Acha kutetea uovu".

Sasa hapa ku "complain" au kuna ujinga tu?

U "complain" uje na ushahidi wa uyasemayo siyo unakuja na hadithi za gongo.

Huu ulioletwa hapa ni ujinga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom