:horn:Heshima kwenu wadau, kuna jamaa mmoja huku JF anaitwa Remote jamaa ni noma sana kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia nyuzi zake pamoja na comments anazoziweka humu. Ilibidi nifanye hivyo baada ya kuvutiwa na ki avatar chake ambacho muda wote kinacheza (bila muziki) yani kama unataka kucheka mtafute huyu jamaa!:glasses-nerdy: