Huyu Remote wa JF ni shida

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Heshima kwenu wadau,

Kuna jamaa m:horn:moja huku JF anaitwa Remote jamaa ni noma sana kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia nyuzi zake pamoja na comments anazoziweka humu. Ilibidi nifanye hivyo baada ya kuvutiwa na ki avatar chake ambacho muda wote kinacheza (bila muziki) yani kama unataka kucheka mtafute huyu jamaa.:glasses-nerdy:
 
Huyu jamaa na mm avatar yake huwa inanichekesha sana
 
Huyu jamaa na mm huwa avatar yake inaniacha hoi sana!
 
Mpenzi, my ex Remote...kuja huku.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…