Huyu Rais kageuka lini jamani!?

Unaweza ku-define ushabiki wa kijinga? Nikikwambia wewe una ushabiki wa kijinga utasemaje? Yaani kusema Lumumba ndio kunatuliza roho yako? Makusanyo yapi unayoongelea? Serikali zote ulimwenguni lazima zithibiti ulipaji wa kodi na hili limekuwa ni donda ndugu Tanzania. Watu wakope tu wasirudishe, are you serious? Then mnalalamika Tanzania masikini. Ajabu na kweli. Hao wanafunzi ambao sio hewa si waende na vitambulisho vyao na kama HELSB wakigoma kwa nini wasiwashitaki mahakamani. Yaani mnategemea rais afanye kila kitu wakati mahakama zipo washitakini HESLB. Ndio umburula huo sasa mnalalamika bila kufuata sheria imekula kwenu.
 
Mkuu mbona hueleweki unachopigania? Hapa JF huwa tunashindana kwa hoja.mimi nimetoa hoja yangu nipinge kwa hoja.
Naona unaleta maneno mingi point sifuri.
Huwezi kunielewa kwa sababu huna hoja. Wewe na mimi hapa JF nani alijiunga kwanza? Unafikiri JF ilianza kama uyoga?
 
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
Hakujua kuwa wakichukua huo mkopo huwa hawarejeshi. Kwa hiyo hauna sifa ya kuitwa mkopo. Ingalikuwa ni mkopo kweli, hilo alilolisema kwenye kampeni mbona lingekuwa rahisi sana kulitekeleza - revolving fund.

Hivyo kinachofanyika sasa ni kuufanya huo mkopo uwe mkopo kweli kweli. Yaani waliokopa na wanaokopa warejeshe huo mkopo ndani ya kipindi kifupi baada ya kumaliza hayo masomo au kulamba disco. Masharti ya mkopo hayahusishi kuajiriwa baada ya kusoma. Sheria ya kufanikisha jambo hili tayari imeshatungwa hivyo tutegemee ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni itatekelezwa by 2020. Tatizo la watanzania wanataka ahadi zote zilizotolewa kwenye kampeni zitekelezwe zote mara moja. Wanasahau kuwa zitatekelezwa ndani ya miaka 5. Hadi sasa ndani ya mwaka 1 zimekekelezwa kwa zaidi ya asilimia 30%. Hii ni spidi nzuri sana kwani ndani ya 3 years zote zinaweza zikawa zimetekelezwa na hivyo kukosa cha kufanya miaka 2 itakayobakia!
 
Huwezi kunielewa kwa sababu huna hoja. Wewe na mimi hapa JF nani alijiunga kwanza? Unafikiri JF ilianza kama uyoga?
Basi kama hoja yako ni kuwa umejiunga JF kabla yangu nashukuru mkuu. Sasa nimekuelewa.
Hivi kumbe waliojiunga JF mapema zaidi huwa hawakosei kumbe nilikuwa sijuwi.
 
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
Aidha hakuyasema maneno haya au ni kichwa cha panz hakuna anachokumbuka amesahau yote
 
M nazan ungeanza kwa kutoa hyo avatar yako ingekuwa poa coz naona hapo unatoa unafki
 
Rais Magufuli hakugeuka ila hali ya nchi alipokabidhiwa alikuta hakuna pesa kabisa .
Ninaimani na Rais Magufuli pindi mambo ya kiuchumi yakiwa mazuri tutegemee neema
kabla alikuwa chama gani na baada ni chama gani? acheni utapepeli na ujanja ujanjatkabidhi nchi kwa walioshinda
 
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
 
Basi kama hoja yako ni kuwa umejiunga JF kabla yangu nashukuru mkuu. Sasa nimekuelewa.
Hivi kumbe waliojiunga JF mapema zaidi huwa hawakosei kumbe nilikuwa sijuwi.
Pumba, nimekwambia JF haikuota kama uyoga!
 
Kwa mtu ambaye ameshawahi kuona michezo ya magari hahitaji akili nyingi kujua jinsi Jozane Pedezee Mbuzi aligeukaje.Kama hujui unaweza kuwa tafuta hata team tezza bakuelezee huwa yale magari yanageukaje,Kwa PhD yangu niliyo ipatia mtaani inaniambia kitu chochote chenye mwendo kasi mkubwa kugeuka ni rahisi hapa madereva mtanikosoa hasa wale wataalamu wa ku-drift.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Rais Magufuli hakugeuka ila hali ya nchi alipokabidhiwa alikuta hakuna pesa kabisa .
Ninaimani na Rais Magufuli pindi mambo ya kiuchumi yakiwa mazuri tutegemee neema
Mbona anakusanya nyingi kuliko aliyepita(kwa maelezo ya mdomoni ya tra) tulitegemea maisha yangekuwa nafuu,lakini ni kinyume chake!!
 
Chato International Aerodrome

mpaka Tupalov 144 (ndege kubwa kuliko zote) itatua kubeba senene
 
KILA KITU NI MIPANGO,SASA WALE WADAIWA SUGU WALIPE,NA MAKUSANYO MENGINE YAJAZIWE HUMO....WHY DO YOU WANT THE GUY TO FLY WHILE HE HAS NO WINGS.....si kila ahadi itatimia kwa wakati nyingine vuteni subra
 
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
ccm ni ileile oohhh ile ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…