Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 767
Rais Magufuli hakugeuka ila hali ya nchi alipokabidhiwa alikuta hakuna pesa kabisa .
Ninaimani na Rais Magufuli pindi mambo ya kiuchumi yakiwa mazuri tutegemee neema
Nakukumbusha tu kiongozi,ile sheria ya habari unayemsema alishasaini.
Huyu jamaa kashafeli mkuuNaona ameanza kurudi nyuma kwenye teuzi, aliwahi nena mtu akiharibu huku anahamishwa huku,sasa wa kuwateua wameisha ameanza na yeye kuwabasilishia majukumu
Hakuna kitu kama hicho. Subiri maumivu maana haya ya sasa ni dalili tu.Rais Magufuli hakugeuka ila hali ya nchi alipokabidhiwa alikuta hakuna pesa kabisa .
Ninaimani na Rais Magufuli pindi mambo ya kiuchumi yakiwa mazuri tutegemee neema
Akili ya ccm ndipo ilipooshia. Hawawezi kufanya kitu kipya kwenye nchi hiiCcm ni ile ile ndg yangu, utasubili sana mabadiliko chanya ndani ya ccm maana fikra, uwezo wao umegota hawana tena fikra mpya, walichobakia nacho ni uongo, ulaghai, wizi na ufisadi wa Mali za umma
Unaishi Tanzania?Unaweza Weka Ushaidi Wa Habari Hii?Picha,Video au Link?
Ha ha ha haRais Magufuli hakugeuka ila hali ya nchi alipokabidhiwa alikuta hakuna pesa kabisa .
Ninaimani na Rais Magufuli pindi mambo ya kiuchumi yakiwa mazuri tutegemee neema
hii ni kweli kaka ww ni ccm nnUnaweza Weka Ushaidi Wa Habari Hii?Picha,Video au Link?
Ndio,Na Nitafia Tanzania!Unaishi Tanzania?
Kuna Uhusiano Gani Kati ya Komenti Yangu na CCM?hii ni kweli kaka ww ni ccm nn
mtoa mada kasema ukweli kwamba aliahid hakutakuwa na mtoto wq masikini afaulu na akose mkopoNdio,Na Nitafia Tanzania!
Kuna Uhusiano Gani Kati ya Komenti Yangu na CCM?
Ndio kauli yake ipo sahihi kabisa.Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
Kwa jinsi ulivyomtetea mwenyekiti wako ni dhahiri kbsa.Ndio,Na Nitafia Tanzania!
Kuna Uhusiano Gani Kati ya Komenti Yangu na CCM?
Kwani hukusikia akiwa tabora pale? Au unajisahaulisha tu? Watu wengine bwanaUnaweza Weka Ushaidi Wa Habari Hii?Picha,Video au Link?
MTOTO WAKE ALIPATA MKOPO KWA VIGEZO GANI?Ndio kauli yake ipo sahihi kabisa.
Wanafunzi walisumbuliwa ktk mikopo ambao hawastahili wanapata wenye vigezo hawapati.
Na sio hilo tu wanafunzi hewa walikuwa wengi.
Palikuwa hakuna utaratibu.
Au wewe kutokana na kauli hiyo ulitaka wenye sifa na wasio na sifa wapewe? Kauli hii hajaitoa