The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,333
- 3,567
UchocheziNilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale helb sio watanzania!?
mkuu usishangae sana kwani hautambui neno mtu MNAFKI huwa linamaanisha niniNilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale helb sio watanzania!?
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale helb sio watanzania!?
Hajageuka, ila hukujua alivyoNilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale helb sio watanzania!?
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale helb sio watanzania!?
Wenye sifa wote mbona wamepata mkuuNilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale helb sio watanzania!?
Na huyu ndo mtu mnafki zaidi dunianiHamna kitu kibaya kama UNAFIKI kwenye Uongozi.
tena saiv kwa kukuongezea tu hajaribiwi
Si Umeona C.I.D Baada ya Kutumbuliwa,Amepewa uRAS Kule Kagera?Naona ameanza kurudi nyuma kwenye teuzi, aliwahi nena mtu akiharibu huku anahamishwa huku,sasa wa kuwateua wameisha ameanza na yeye kuwabasilishia majukumu
Pia kaongezea mhimili mmoja umechimbiwa chini zaidi.. na hafukui makaburi..