Huyu nyoka hapa hachomoki

Wanamtafutia timing tu wagawane kila mmoja na kipande chake
 
wote hamja elewa hyo picha. hao nguchiro na nyoka wanafanya kikao chao bila shida, nyinyi mnasema wanawindana !
 
wote hamja elewa hyo picha. hao nguchiro na nyoka wanafanya kikao chao bila shida, nyinyi mnasema wanawindana !

Halafu naona nyoka ndio mwenyekiti. ilaa aangalie asijepigwa vibao.
 
Nyoka anajua kabisa hapo kuwa mababu wanamuita...

Na hao jamaa hapo wamepata haueni ya kula mchwa siku hiyo
 
vinashangilia na kupiga hesabu za kugawana kitweo siku ipite amakweli mwinda huwindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…