Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Ataingia Box au Atakataa?? Mnasemaje hapoooooooo.........
Dawa ya Mwanamke anaye kukuzungusha mvishe pete ya uchumba pete ya dhahabu basi atakuwa amekwisha na uwe unamuhudumia kwa pesa ndogo za matumizi ya kila siku atakubali yeye mwenyewe Jerhy Wazungu wanasema Money Talk.Duuuu hapo chali kwanza amekomaa ni mbishi alafu ana kiujasiri mcheki mikono yake alivyoweka ni biti tu but mi naona hapa atakumbana na visingizio vifuatavyo hatimae atanyakua hicho kibird cha kidigitali.
Ila yeye atamwekea vikwazo kibao kama vifuatavyo:
Niko kwenye period
Nina boyfriend / mume / mchumba
Ninaumwa (malaria/tumbo/kichwa/n.k.)
Mama yangu mgonjwa
Niko bize na kazi
Wiki hii nina test (kwa wanavyuo)
Mi sitaki mambo hayo, mpaka nimalize masomo nipate na kazi
Mi bado mdogo
Sitaki!!
Nyumbani kwetu geti kali siwezi kutoka
Wewe sio mwanaume wa type yangu (mfupi sana/mweusi sana/mweupe sana/huna hela/n.k.)
Mi sitoki/siongei na watu nisiowajua (strangers)
Sijisikii kuwa na wewe / sikupendi!
na kadhalika
.....
.....
MzeeMzizimkavu!!
Utajisikiaje nikikwambia kuwa vikwazo vya dizaini hiyo vingi ni geresha tu ... sio vikwazo kwa maana ya vikwazo bali ni fursa nzuri kwako kupata unachotaka?
Na bomba zaidi je unajua mbinu za kutumia ili kumfanya mwanamke asikupe kabisa vikwazo kama hivyo? Ukimtongoza mwanamke vibaya atakuwekea vikwazo vingi na hata kama utampata atakuwa ashakuzungusha sana na kukupotezea muda na pesa. Ukiwa na mbinu za kuzuia vikwazo maisha yako yatakuwa rahisi zaidi.
Namshauri chali akomae na shule hao watakuja tu wenyewe.
Dawa ya Mwanamke anaye kukuzungusha mvishe pete ya uchumba pete ya dhahabu basi atakuwa amekwisha na uwe unamuhudumia kwa pesa ndogo za matumizi ya kila siku atakubali yeye mwenyewe Jerhy Wazungu wanasema Money Talk.
Si unajuwa wanawake kwa kupenda vitu vya dhahabu mkuu Jerrymsigwa ukimnunulia Pete ya dhahabu na mkufu na hereni za dhahabu na huduma za ndogo ndogo za pesa sijuwi tena kama huyo bibie atakukataa...............cc JerrymsigwaHa ha haaaa duh so akiona pete roho inasuuzikaaaa
Si unajuwa wanawake kwa kupenda vitu vya dhahabu mkuu Jerrymsigwa ukimnunulia Pete ya dhahabu na mkufu na hereni za dhahabu na huduma za ndogo ndogo za pesa sijuwi tena kama huyo bibie atakukataa...............cc Jerrymsigwa
Hivi ukitongoza mwanamke akakwambia ana mchumba utasemaje?maana huwa nakwamia hapo.
Ataingia Box au Atakataa?? Mnasemaje hapoooooooo.........
![]()