Huyu ninaemuona Mwanza ni Said Meck Sadick au namfananisha?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Tangu astaafu ukuu wa mkoa wa Mbeya sijawahi msikia tena Mzee Said Meck Sadick

Hapa Mwanza namwona Mzee kafanana sana na Meck Sadick anaendesha gari aina ya Benz la dark blue

Naomba kujuzwa kama ni yeye au nimemfananisha?

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni yeye na alijenga na kuishi kule juu Kabuholo,kimsingi ni msukuma wa hapo Sengerema isipokua mama yake ndo alikuaga ni mwarabu,kwao kabisa pale Katunguru kwenye kona kama unapinda kuelekea Sengerema..ila anaishi town juu kule Kabuholo ndo kwake siku zote.
Tangu astaafu ukuu wa mkoa wa Mbeya sijawahi msikia tena Mzee Said Meck Sadick

Hapa Mwanza namwona Mzee kafanana sana na Meck Sadick anaendesha gari aina ya Benz la dark blue

Naomba kujuzwa kama ni yeye au nimemfananisha.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Tangu astaafu ukuu wa mkoa wa Mbeya sijawahi msikia tena Mzee Said Meck Sadick

Hapa Mwanza namwona Mzee kafanana sana na Meck Sadick anaendesha gari aina ya Benz la dark blue

Naomba kujuzwa kama ni yeye au nimemfananisha.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Yaani umuone ww halafu unakuja kutuuliza sisi ambao hata hatujamuona. Ulishindwa vipi kumuuliza? Au kuwauliza uliokaribu nao?
 
Yupo nashangaa kwanini hukumfuata wakati jamaa anamradi mzuri sana wa ufugaji samaki ungeweza jifunza kitu kwake tafuta connection anaweza pata shule nzuri kutoka kwake.
 
Hivi baada ya kutoka u Rc wa Dar alienda Mbeya! Na huko aliko Anna Mgwira si ndiko alikositishiwa ukuu wa mkoa?
Unashangaa mtu kumuona nyumbani kwao?
 
Back
Top Bottom