Huyu ni wakuoa kweli?

Dah umezama deep sana
 
Mkuu acha tu,mimi nimemrudisha jana hukohuko mara na ndoa tumefunga 16/2/2019 we acha tu nilikuwa mbishi nikaacha waruguru wenzangu na kwenda huko nipo hapa nyumba imeniinamia
 
Wewe umeunga kifurushi tu hajasema ahsante akati wenzio wanatoa Laki hata kuambiwa imefika hakunaa...na simu inazimwa inakuja kupatikana jioni akiomba vocha tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
mtumie kifurushi, kaa dakika kumi na tano mtumie mesej mwambie asante kwa kifurushi.
asipoanza kujishtukia basi anakudharau.
 
Hii changamoto nliipata kwenye relation iliopita
mtu unamwambia mapungufu yake anakwambia unalalamika[emoji3]
Ndo maana hta huyu nimeona sina haja ya kumwambia vitu ambavyo ni basics kbsa mwanadam kuwa navyo
Watu tunatofautiana sana wa kwangu mimi anasema nalalamika sana hapo ni baada ya kumtafuta
 
Wewe umeunga kifurushi tu hajasema ahsante akati wenzio wanatoa Laki hata kuambiwa imefika hakunaa...na simu inazimwa inakuja kupatikana jioni akiomba vocha tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
[emoji23]Dah asa hizi c dharau kabisa za kiwango cha fly over
 
mtumie kifurushi, kaa dakika kumi na tano mtumie mesej mwambie asante kwa kifurushi.
asipoanza kujishtukia basi anakudharau.
[emoji3]Kuna tunapiga nae mishe alinishauri kama wwe jana
Ila kiukweli kumfundisha mtu vitu basics kbsa naona kama ni ufala
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…