Huyu ni wakuoa kweli?

Huyu ni wakuoa kweli?

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,741
Reaction score
3,315
Habari wakuu

Niko kwenye usahili wa kutafuta mwanamke wa kuoa mnamo mwakani kama Mungu atajaalia.

Sasa kuna binti ambae anaongoza kura za maoni mpaka sasa kukabidhiwa nafasi hiyo,Ila kiukweli ana changamoto kadhaa ambazo naziona kama kikwazo kwangu.

1-Kwa kua amekulia katika mazingira ya utafutaji tangu anakua yani ni kama imempunguzia ule uromantic wa kike+ na asili yao ni watu wa kanda maalumu(Mara).

2-Unaweza mtumia pesa au chochote ila hawezi sema asante au nimeipata mpaka umuulize
mfano leo asubui nimemnunulia kifurushi ila hata kujibu kwamba nimeipata hamna na sio kwamba hanipendi ila tu ndo asili yake.

Binafsi naona kumwambia siwezi ila naona tu nipige chini japo hana sifa zingine mbaya.

Ushauri tafadhali
 
Kama ushaona ni asili yake bas ona hayo ni kama mapungufu yake uyazoee huwez pata mtu perfect labda umuumbe mwenyewe.
Dah yan kizuri kwake ni kuwa hana shobo na wanaume ila sasa mambo mengine yale ya kimahaba mahaba ndo hana kbsa
 
Habari wakuu
Niko kwenye usahili wa kutafuta mwanamke wa kuoa mnamo mwakani kama Mungu atajaalia.
Sasa kuna binti ambae anaongoza kura za maoni mpaka sasa kukabidhiwa nafasi hiyo,Ila kiukweli ana changamoto kadhaa ambazo naziona kama kikwazo kwangu.
1-Kwa kua amekulia katika mazingira ya utafutaji tangu anakua yani ni kama imempunguzia ule uromantic wa kike+ na asili yao ni watu wa kanda maalumu(Mara).
2-Unaweza mtumia pesa au chochote ila hawezi sema asante au nimeipata mpaka umuulize
mfano leo asubui nimemnunulia kifurushi ila hata kujibu kwamba nimeipata hamna na sio kwamba hanipendi ila tu ndo asili yake.
Binafsi naona kumwambia siwezi ila naona tu nipige chini japo hana sifa zingine mbaya.
Ushauri tafadhali
u
.nazani wataka malaika wewe.
 
Haha me mpole sana afu yye ana asili ya ubabe
yan tabu tupu
Mwambie akibadilika oa hasipobadilika tafuta mwingine kila mtu anamapungufu tena ayo mbona madogo yanarekebishika tu
Note: hakikisha wewe ni mbabe zaidi yake kwenye makonde hasije kukugecha
 
Habari wakuu

Niko kwenye usahili wa kutafuta mwanamke wa kuoa mnamo mwakani kama Mungu atajaalia.

Sasa kuna binti ambae anaongoza kura za maoni mpaka sasa kukabidhiwa nafasi hiyo,Ila kiukweli ana changamoto kadhaa ambazo naziona kama kikwazo kwangu.

1-Kwa kua amekulia katika mazingira ya utafutaji tangu anakua yani ni kama imempunguzia ule uromantic wa kike+ na asili yao ni watu wa kanda maalumu(Mara).

2-Unaweza mtumia pesa au chochote ila hawezi sema asante au nimeipata mpaka umuulize
mfano leo asubui nimemnunulia kifurushi ila hata kujibu kwamba nimeipata hamna na sio kwamba hanipendi ila tu ndo asili yake.

Binafsi naona kumwambia siwezi ila naona tu nipige chini japo hana sifa zingine mbaya.

Ushauri tafadhali
Hujitambui aslani walahi
Hujui wataka nini kwanini
Wajiendea tu kama boko
Lakini sio haba kiringeni
Umechangamsha genge
Walume wamejua u nani
Ila ushauri wajua vigezo
Ndio! Vigezo na masharti
Yalindayo hadhi na haiba

Wataka nini kuthibitisha?
Fanya tafakuri tu upya!
Binti hana shida aslani
We wajibaraguza jamani
Hujui lengo lako ni lipi
Badilika kimtazamo tu

Bazazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom