Huyu ni Nani?

Inamaana huyu ni naibu....haya na nini na Tulia sisemi lolote.
 
Hebu mwenye udhibitisho aseme wazi huyu ni Dr Tulia au tunamsingizia tu. Ukitazama hiyo picha amefanana naye sasa sijui ni watu tu wanataka kuzua mambo au pengine kweli muheshimiwa alipiga hiyo picha enzi za ujana wake.
 
Jamani em tulien tulia jamani acheni fuko mtulie mtoa thread na ww tulia
 
Hebu mwenye udhibitisho aseme wazi huyu ni Dr Tulia au tunamsingizia tu. Ukitazama hiyo picha amefanana naye sasa sijui ni watu tu wanataka kuzua mambo au pengine kweli muheshimiwa alipiga hiyo picha enzi za ujana wake.

Kwani sasa ni Mzee?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…