Huyu ni nani?

Ramea

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
2,146
Reaction score
4,093
Huyu jamaa picha yake inanifurahisha Sana, na sijawahi kukuta anacheka. Mwenye kujua historia yake please! Ni mbongo au, na alipatwa na Nini hadi alie hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mnaijeria anaitwa oladee alipigwa na muhindi kwenye betting akaanza kulia ndo picha yake ikasambaa km sikosei ni mwanafunzi wa chuo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…