Huyu ni nani akiwa na RC Makonda?

Huyu ni nani akiwa na RC Makonda?

Bila shaka ni Mabula Stanslaus,Mbunge wa Nyamagana Mwanza!!
Watu wa Misungwi hawa,unaingilia pale Ngudu....Ukivuka mbuga ya Usagala!!
Wanajuana hawa watu wa Nasa hawa....!!Mkao wa kawaida tu;sema vile kwa sasa Makonda ana nyota ya "dudu washa"...Kila anayemtazama anatamani dudu lipotee!!
mkuu nikikuta umeka na mwanaume mwezio hivyo nitakuhisi vibaya lazima na nitakutangaza kuwa haa aahaahahhaha kazi ipo
 
Mbona wanashikana mapajaa tenaa...au macho yangu ya uzee
Sema tu mbona kama anataka kukagua hifadhi ya mbegu,na mvua hizi za Dar labda anataka mtu akalime shamabani kwake!!

Ila naskia kuwa Faru John alikuwa na wivu sana,sasa sijui kapunguza huko alipo au kanyamaza tu kwani hahitaji maneno ya mtandao!!
 
Mimashaka yangu ni mkao muingiliano wa miguu hasa sehemu ya mapaja, huu ni mkao wa unaotakiwa kukaa watu wa jinsia mbili tofauti wakijadili mahaba.
 
Bila shaka ni Mabula Stanslaus,Mbunge wa Nyamagana Mwanza!!
Watu wa Misungwi hawa,unaingilia pale Ngudu....Ukivuka mbuga ya Usagala!!
Wanajuana hawa watu wa Nasa hawa....!!Mkao wa kawaida tu;sema vile kwa sasa Makonda ana nyota ya "dudu washa"...Kila anayemtazama anatamani dudu lipotee!!
Mpaka kwa Brazamen Mabula???
 
Sema tu mbona kama anataka kukagua hifadhi ya mbegu,na mvua hizi za Dar labda anataka mtu akalime shamabani kwake!!

Ila naskia kuwa Faru John alikuwa na wivu sana,sasa sijui kapunguza huko alipo au kanyamaza tu kwani hahitaji maneno ya mtandao!!
Faru john ana wivu na wanawakee wa njee kulikoo mkee wa ndoaa
 
hivi unajua miguu imeingiliana kabisa, alafu mkono wa kulia wa bashite uko wapi? mbona siuoni?
 
Wamaume semeni ukweli huyu anaweza kua ni mtoa huduma maana si kwa mikao hiyo!! Je wewe Rijali unaweza kukaa mkao huo?
 
Hii picha niliiona jana nikajiuliza mwanaume straight kweli akae hivo [emoji53][emoji53][emoji53]
 
View attachment 484686

Wadau nimetazama picha hii na kuvutiwa na namna walivyo zama kwenye majadiliano ya kiofisi, yaani wamezama kwenye dimbwi na lindi la majadiliano.

Lakini sijabahatika kufahamu huyu bwana mwingine ni nani?
Siwajui ila naona wamewekeana mapaja katikati afu mmoja akimshika mwenzake mapaja, huku aliyeshikwa mapaja akiwa kalegea mwili mzima na cha kushangaza zaidi wote wamevaa mavazi ya kiume (Sina hakika kama ni wanaume mana sura zao sizioni vizuri). Mwisho kabisa naamini kati yao wote hakuna anayeweza kupinga ubaradhuri wa kimagharibi.
 
Bila shaka ni Mabula Stanslaus,Mbunge wa Nyamagana Mwanza!!
Watu wa Misungwi hawa,unaingilia pale Ngudu....Ukivuka mbuga ya Usagala!!
Wanajuana hawa watu wa Nasa hawa....!!Mkao wa kawaida tu;sema vile kwa sasa Makonda ana nyota ya "dudu washa"...Kila anayemtazama anatamani dudu lipotee!!

Hii picha nimeangalia mara moja na sitaki tena kuiangalia.Kwa kweli Mungu ametuumba wa tofauti sana.Mimi hata kukumbatiana na mwanaume mwenzangu kwa salamu tu huwa ni nadra itakuwaje hii ya kumshika mwenzio mapaja? Makonda wewe ni National Figure jitazame.
 
Back
Top Bottom