OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,019
- 114,374
Wadau nimetazama picha hii na kuvutiwa na namna walivyo zama kwenye majadiliano ya kiofisi, yaani wamezama kwenye dimbwi na lindi la majadiliano.
Lakini sijabahatika kufahamu huyu bwana mwingine ni nani?