Huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa

Huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa

Ikiwa mke mwenyewe alichukuliwa kwenye ujasiria mali anategemea nini hapo?!!!

Mleta uzi kausha mazima. Me wengine mabo.ya sana!!!! Utaoaje mke kwa kukatikiwa mauno tu? then anajua kabisa mishe zake ni za safari safari!!!!!!!! Volenti non sit injuria.

Mdau ukitia kimdomo chako hapo utaonekana la<fa.

Ampe tu taarifa, itakuwa ni bora kuliko kukaa kimya, hebu fikiria kama ni ndugu yako ndio mkewe anamfanyia hivyo bila kujali alipomtoa.
 
Achana nayo hayo mambo....isijekuwa ni moja ya mipango yao kukuza pato la familia..........
 
Inawezekana na wewe mtoa mada watu wana data za mkeo...isipokuwa wanakuchora tu huku wakikuhurumia.........
 
Naomba nikuulize. Ingekuwa wewe ndiyo mwenye huyu mke na rafiki yako kamkuta hapo ulipomkuta je ungependa rafiki yako afanye lipi? Akwambie uso kwa uso? Aminye kama hajaona baya lolote? au atafute njia mbadala ya kukwambia kama yeye mwenyewe hayuko tayari kujulikana kama ni yeye ndiye mwenye kufikisha habari hizi mbaya?
 
kama hapo mwanzo alikuwa anauza mabarabarani, inawezekana huyo jamaa waliyekuwa naye kwenye mziki, enzi hizo naye alikuwa anapatiwa huduma huko barabarani, kwa hiyo anafanya kuendeleza biashara ya zamani tu!
 
siku hizi tabia za wanawake zinafanywa na wanaume
ndio maan wanawake wanalilia haki sawa
mwanaume acha umbea haya hapo lazima uonekane mbaya kivyovyote tu
 
Naomba nikuulize. Ingekuwa wewe ndiyo mwenye huyu mke na rafiki yako kamkuta hapo ulipomkuta je ungependa rafiki yako afanye lipi? Akwambie uso kwa uso? Aminye kama hajaona baya lolote? au atafute njia mbadala ya kukwambia kama yeye mwenyewe hayuko tayari kujulikana kama ni yeye ndiye mwenye kufikisha habari hizi mbaya?

Kama ni mimi niko tayari jamaa aniambie, na sintomuwekea kinyongo zaidi ya kukaa na Kuchunguza, kamwe siwezi kumwambia wife kuwa hizi taarifa nimepewa na nani
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom