Huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa

Huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa

Joined
Mar 17, 2015
Posts
46
Reaction score
24
Anaonekana kuwa ni mwanamke wa heshima zake kabisa, mume wake ni rafiki yangu tuliyeshibana sana tangu utotoni hadi sasa, huyu rafiki yangu ni mtu wa kusafiri safiri sana, Jana baada ya kutoka kwny pilika za hapa na pale nikaamua kupitia kwny club moja ambayo pia huwa kunapigwa muziki wa dansi (live band)

Wakati tumemaliza kuserebuka ngoma kali kabisa ya kofii (inaitwa andrada) lahaulah......c nikamuona nae anarudi kuketi akiwa ameshikwa kiunoni na li jamaa moja hivi lina mtambi hu.....nikastuka, nikatuliza akili kumtazama vizuri nikagundua ni yeye.

Nikaamua kuwavizia hadi mwisho nione itakuwaje.....baada ya nusu nikaona wanaondoka, nikawafuatilia, wakapanda kwny VX moja kali sana na mi nikaingia kwny ka mkweche kangu (ka Toyota rav 4) safari ikaanza....haooooooooo.....hamad, safari ikaishia hotel moja hivi.

Nikarudi nyumbani nikiwa na mawazo huku roho inaniuma sana nikiwa na maswali mengi kichwani, kesho yake nikamwita mzee mmoja wa heshima zake pale mtaani kwetu (maana tunaishi mtaa mmoja) nikajaribu kumuulizia kimitego kuhusu mwanamke mwny anapofanya mambo hayo, yule hakupindisha maneno, moja kwa moja akaniambia 'aagh, unamuongelea yule.....akamtaja jina, kwa hapa mtaani labda ametubakiza mimi na wewe tu, hachagui yule awe msukuma mkokoteni,muuza duka,mzoa uchafu wote twende tu.... Inasemekana....hapo akapunguza sauti kidogo......kuwa mume wake alimtolea kwny ujasiriamali!!!! Nikajiuliza ujasiriamali!!! Mzee akafafanua....si ni hawa wanawake wanaojipanga ucku kujiuza....!!

Kumbe shemeji yangu changudoa!!

Kwa kulifahamu hilo namuonea huruma sana rafiki yangu lakini cna jinsi ya kumchomoa huko maana nae amedata jumla, hackii la mnadi swala mckitini wala mgonga kengele kanisani
 
Apo Imekula kwake.si ajabu na ye anajua sema hamumuongeleagi mkewe
 
Ngoswe muache apambane na mambo yake........

Ikiwa mke mwenyewe alichukuliwa kwenye ujasiria mali anategemea nini hapo?!!!

Mleta uzi kausha mazima. Me wengine mabo.ya sana!!!! Utaoaje mke kwa kukatikiwa mauno tu? then anajua kabisa mishe zake ni za safari safari!!!!!!!! Volenti non sit injuria.

Mdau ukitia kimdomo chako hapo utaonekana la<fa.
 
Anaonekana kuwa ni mwanamke wa heshima zake kabisa, mume wake ni rafiki yangu tuliyeshibana sana tangu utotoni hadi sasa, huyu rafiki yangu ni mtu wa kusafiri safiri sana, Jana baada ya kutoka kwny pilika za hapa na pale nikaamua kupitia kwny club moja ambayo pia huwa kunapigwa muziki wa dansi (live band)

Wakati tumemaliza kuserebuka ngoma kali kabisa ya kofii (inaitwa andrada) lahaulah......c nikamuona nae anarudi kuketi akiwa ameshikwa kiunoni na li jamaa moja hivi lina mtambi hu.....nikastuka, nikatuliza akili kumtazama vizuri nikagundua ni yeye.

Nikaamua kuwavizia hadi mwisho nione itakuwaje.....baada ya nusu nikaona wanaondoka, nikawafuatilia, wakapanda kwny VX moja kali sana na mi nikaingia kwny ka mkweche kangu (ka Toyota rav 4) safari ikaanza....haooooooooo.....hamad, safari ikaishia hotel moja hivi.

Nikarudi nyumbani nikiwa na mawazo huku roho inaniuma sana nikiwa na maswali mengi kichwani, kesho yake nikamwita mzee mmoja wa heshima zake pale mtaani kwetu (maana tunaishi mtaa mmoja) nikajaribu kumuulizia kimitego kuhusu mwanamke mwny anapofanya mambo hayo, yule hakupindisha maneno, moja kwa moja akaniambia 'aagh, unamuongelea yule.....akamtaja jina, kwa hapa mtaani labda ametubakiza mimi na wewe tu, hachagui yule awe msukuma mkokoteni,muuza duka,mzoa uchafu wote twende tu.... Inasemekana....hapo akapunguza sauti kidogo......kuwa mume wake alimtolea kwny ujasiriamali!!!! Nikajiuliza ujasiriamali!!! Mzee akafafanua....si ni hawa wanawake wanaojipanga ucku kujiuza....!!

Kumbe shemeji yangu changudoa!!

Kwa kulifahamu hilo namuonea huruma sana rafiki yangu lakini cna jinsi ya kumchomoa huko maana nae amedata jumla, hackii la mnadi swala mckitini wala mgonga kengele kanisani

dah mkuu inaonekana huyo shemeji yetu mashaallah,vipi anapatikana mitaa gani?
 
Kosa kubwa umefanya mkuu.. Ilikua either upambane pale pale kwaajili ya rafiki yako.. Au ungewaacha tu, kufatilia ishu zao haipendezi
 
Hata dunia ingenishangaa kwenda kupambana kwa ajili ya mke mtu mwingine!!!!!
 
Back
Top Bottom