James Mhangwa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 604
- 513
Duh!!!!
Hizi imani zinatupa shida kweli. Unakiomba msamaha kiumbe ambacho hukifahamu?
Natamani nikione na one day nitafanya ziara Tabora
Hapana mkuu,waliotengeneza ile gemu ndo walikopi kutoka kwenye huyo aliyeko pichaniIna maana kwamba aliamua kujitokeza hadharani au alipotea njia na kutoka kwenye Nokia?
Kweli mkuu, Tabora kuna vichaa wengi sijapata kuona! Nahisi hata kwa ombaomba pia wanaongozaHuwezi kuishi Tabora wewe, yaani ule mkoa una vitu vya hajabu sijapata kuona Tanzania hii. Wakazi wanaamini sana nguvu za giza kule, ni sawa tu na Kigoma. Ukikorofishana na mwenzako unarushiwa uchawi na kuwa kichaa na ndiyo maana wanaongoza kuwa na vichaaa wengi hapa Tanzania.
Haya ni mambo ya profession sio Ku guessMkuu mbona unakuwa mkali hivyo?
Tuwasubiri kina nani? Kwani wewe huwezi ukajaribu kutoa jibu?
Waingereza wanasema 'to dare is to do' sasa jaribu na wewe
Kama ni nyoka, swali ni je mbona ni mfupi sana na hana mkia?
Aisee umenifurahisha asubuhi yoteLabda ni chatu mbilikimo.! Atakuwa anameza watu wadogo wadogo cause wenye urefu kuliko yeye hawawezia
YawezekanaCatapila wakubwa
Kimeonekana katika mji wa Santa Fe huko ArgentinaMmekiuliza vizur kinatokea wapi
Umekamilika, ila sisi wanadamu ndiyo ambao tunakutana na vitu vipya kila sikuUna maana kuwa uumbaji wake haukukamilika?
Umewahi kuwaona wa aina kama ya huyo hapo mwenye vichwa viwili?Ila hapa tz kama wapo HV wenyewe wanakuaga wa kijani
Jina lake ndiyo shidaAina ya nyoka
Yule mwanamuziki?Mkuu unamkumbuka Emoro?