themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,065
- 3,844
Mkuu umefikiri mbali, wengine wangeanza kusema mbona anaziba riziki wa watanzania. Wazungu janja janja nyingi sana huwezi kuja Africa kuwa machinga tu! bila agenda iliyojificha, naamini hili litafanyiwa kazi ipasavyo!Location Stand ya Bukoba
Raia huyu wa kigeni alionekana akiuza vinywaji kwenye basi, je huyu ni machinga kweli ?
View attachment 1112284
Location Stand ya Bukoba
Raia huyu wa kigeni alionekana akiuza vinywaji kwenye basi, je huyu ni machinga kweli ?
View attachment 1112284
Mbona mi pia mzungu km huyo ila nalima!!nimekomaa mikono hadi fingerprint hazisomi
Wote hao umekosa picha ili kuaminisha umma!.Sometime ni wabongo tu , Tabata wapo wamezaa na wazaramo wanacheza midundiko tu, msufini Moro wapo wanaponda kokoto kwa mikono wapate riziki
Du uo sio utakuw ujasusi wenye element za kishirikina na udada ndani yake.yaani itakuw flavour+Jasusi wa senene huyo.
Inabidi nawe uwe jasusi kwa nchi yako ili uweze kujua kama yupo kwa nia njema nchini.
1:Fahamu jina lake.
2:Asili yake.
3:Elimu yake.
4:Umri.
5:Mawasiliano.
6:Mtaji wake.
7:Anapoishi.
8:Mahusiano yake na jamii.
9:Uzoefu wake hapa Afrika.
10:Jenga urafiki naye.
11:Uvumilivu wake.
12:Historia yake.
13:Mahusiano kama anayo.
14:Ratiba zake/kulala na kuamka.
15:Aina ya vifaa alivyonavyo.
16: Maisha ya pale anapoishi je kuna vitu vya kudumu (ni maisha ya kudumu).
17:Udhaifu wa mwili wake.
18:Chakula chake na huwa anakula muda gani.
19:Anajua Kiswahili.
20:Tabia za nje.
Jitahidi ufahamu hayo mambo 20 akifanikiwa utakuwa na majibu ni jasusi au mkimbizi.
Hahahaha kwenye upelelezi ukidharau tu kitu basi bora uache.Du uo sio utakuw ujasusi wenye element za kishirikina na udada ndani yake.yaani itakuw flavour+