Kuna wakati fulani nchini China jijini Guangzhou na HongKong kulikuwa na shoga mmoja mzaliwa wa Zenji alikuwa aitwa Ally...
Yule bwana inasemekana alikuwa kaletwa China na bwana wake na huko alifunguliwa biashara ya kujipikilisha, na shoga yule alikuwa apika vyakula vya Kitanzania.
Weeeee nimemtizama vizuri...mbona kachoka hivi?
acha muende kula mibiliani mipilau mzee kitu ubwabwa nazi.. au sio mkuu..
hao mie nilikuwa sitaki hata kuwaona ila mtaani wapo wengi kweli imebidi kuwazoea tu na ben pub wanapapenda kama nini.. uje ule chakula uone wanajua hao acha tu..Bora nilale na njaa kuliko kula chakula cha hao walaanifu...wana nuksi hao sana juzi njiani nlimuona wa kichina loh nlimpitia mbali...
Mkuu umeshajibiwa na bibi mimi49Ana wajihi wa mwanamuziki ila simpati vizuri. Kakaa kama Fresh Jumbe vile! MziziMkavu,mtu kuwa chakula maana yake nini? Does the owner of the image live among cannibals?
Ndio atakuwa ni Bwabwa huyu....mkuuDoctor unamaanisha jamaa ni bwabwa?
Afadhali umewajibu wewe kuwa huyu ni mtoto sio Rizki.cc FaizaFoxy mybe anamjuwa huyu mtoto sio rizki.........Mtoto si riziki!!
Anatoa MINI KABANG HUYU!
Bora nilale na njaa kuliko kula chakula cha hao walaanifu...wana nuksi hao sana juzi njiani nlimuona wa kichina loh nlimpitia mbali...
Farkina wewe tena au?
Hahaa @ faizaFoxy umenichekesha sana. Yani jamaa kamleta mtu wake halafu uulizwe weweUmlete wewe, umtoe ulikomtoa, uje kusema aulizwe FaizaFoxy! Unantafuta?
Si wewe mwenyewe huyo? maana kakaa kubofya kizenji.
Nimefanyaje?
Umekabang?