Mimi nadhani yuko sawa...kwa sababu mzazi umpa mtoto kile anachoamini ni kizuri.... Tafsiri yangu huyu rasta anaamini bangi au sigara ni nzuri...anamshirikisha mtoto kizuri anachokipenda. Tumsaidie baba ajue madhala ya hicho anachopenda ndo tuanze kumlaumu iwapo atakuwa amekubali kuwa sigara/bangi si nzuri