Huyu nesi kaniacha hoi

...mwanaume wa kweliiiiiii hana wogaaa, dak 1 tu jogooo akasinziaaa....big up to Nesi....wanawake wote wakijituma hivi basi maambukizo ya vvu yatapungua kwa 85%.

Jogoo alisinyaa ghafla aiseeee!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
huyo nesi safi sana maana kaona ni muhimu kutumia taaluma yake ili kukulinda na kujilinda yeye mwenyewe
 
Huyo nesi kiboko, raha ya dk 2 isilete maafa

Nesi naye ni ----- tu. Maana hata kama angekuta negative haimaanishi 100% hakuna maambukizo. Hivyo vipimo vinatakiwa virudiwe baada ya miezi mitatu kwamaana kuwa maambukizi mapya hayagunduliki na hicho kipimo
 
Manesi wana hvyo vpmo magethoni. Mi yalinkuta wakati tushagegedana kavu mara kibao,siku akanambia tupime.nikagoma,akapma mwenyewe ikaonesha yupo fresh namimi nkamwambia npo fresh kwani sijalabua kavu kwingne. Kupima ngox kuna htaji ujasiri wa chuma.
 
Hahahaha huyo nesi ni kiboko na wewe uliua eli nusu shali(ya kukuona unaogopa kupima) kuliko shali kamili(ya kupima afu agundue mambo sio mambo)
 
Dah wanawake wachache sana wenye altitude hizo wengi wao ndizi nyama as usual tena wanang'ang'ania
 
Hahahaaa.. Hapo patamu aiseee..
Umenikumbusha kale ka msemo ka "imagine an HIV free generation, it begins with you"
Lol
 
ha ha ha ukimaliza pima ukimwi , atapima UTI hadi uje ule mzigo utakuwa umepima kila kitu.... mzuri sana huyo..
 
Sasa Mkuu umesamehe Nesi, chakula, madawa na viroba pia hata mtaa umeusahu!! take care nenda kapime!
 
Aisee ungekubali halafu ukawa poa ungependwaje? A ma kweli penye miti hapana wajenzi yaaani ungepewa yoooote bila kupimiwa kwa kijiko
 

Hahahahahaaaa...... nimecheka mpaka basi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…