Nimekuwa kwenye urafiki na nesi flani kwa muda mrefu,nikiwa na kawaida ya kumtembela nyumbani kwake tunapiga story,mwisho ikataokea uhusiano flani hivi usio rasmi.
Nikawa napata chakula nyumbani kwake time ya kuondoka napiga lita kama kawaida ila anakataa kunipa ile kitu inameza mwenzio.
Juzi tu nikaenda kwa kujitoa akili kabisa nimepiga kiroba jogoo yangu nae hakuonyesha kubana akanipa ushirikiano mpaka tukabaki kama Mungu alivyotujalia kutuumba,nia yangu nilitaka nipige ndizi nyama mara nikasikia ohh subiri kidogo nikauliza nn shida?n
Naomba tutest,nikauliza nn tutest?akajibu HIV na vipimo ninavyo,nikamwambia hamna shida,wakati anainuka kwenda kabatini kuchukua kipimo nikaanza kuvuta matukio yote niliyopiga ya hatari akili ikanituma hiyo kitu siwezi alivyorudi kitandani akajitoboa mwenyewe na kuweka damu kwenye kipimo baadae akaniomba mkono nikamjibu naomba nipe hicho kipimo nikapime nyumbani kwangu majibu yakiwa mazuri nitarudi,nikavaa nguo zangu na kuondoka mpaka sasa hivi sijapima na wala sijamtafuta hewani,majibu yake yeye yalikuwa poa.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums