Huyu ndo ndege John

Huyu ndo ndege John

Lengo la kuleta picha humu ni nini hasa?
Halafu mbona huu Uzi umeachwa sana?
 
Kweli me hawana madhara[emoji41]angepostiwa ke hapa pangekua hapatoshi
 
hahhahaa Ndio umekuja Leo Uzi unafunga mwezi now,Sasa huyo aliepost alijuaje umefanana nae au anakujua?
Hata sijui asee ila kiukweli sio Mimi huyo anaonekana Yuko above 33...Mimi ndo kwanza 27 nataka kufanana na goodluck gozbert...na ndevu km baruhan muhuza...
 
Amekuruhusu umpost???
Jamaa sijui hata kwanini kafanya hivyo na Sina hata beef naye btw kinachonishangaza aliempost kwa mbali kdg nataka kufanana naye that means mtoa mada ananijua Basha wake ninayemrombaga.
 
Jamaa sijui hata kwanini kafanya hivyo na Sina hata beef naye btw kinachonishangaza aliempost kwa mbali kdg nataka kufanana naye that means mtoa mada ananijua Basha wake ninayemrombaga.
Kwa hiyo mmeingiliana kwenye mademu zenu au
 
Back
Top Bottom