Huyu ndo nabii Joseph Kibwetele

Huyu ndo nabii Joseph Kibwetele

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,401
Reaction score
7,900
Aliyewachoma moto walokole 600 ndani ya kanisa nchini Uganda na kusepa na mali zao zote ilikua mwaka 2000. Akidai ndio mwisho wa dunia!

FB_IMG_1624012302904.jpg
 
Waliotangulia motoni wamjengee sanamu huyu mwamba..maana kawazidi unyambisi[emoji23]
 
Ndiko wafuasi wa bwana pilipili wanakoelekea uko
 
Huyu alikosea katika njia yake ya kupata hela...
Angeingia chama cha m7 na gia ya kwa jina la ....
Angekuwa kama Gwaji boy sasa hivi...
Eniwei...wakati ukuta.........
 
Aliwakomesha haswa

Yeye kala kona

Ova
 
Back
Top Bottom