Madam Hero
Member
- Oct 7, 2018
- 28
- 30
Case closed
Nilivumilia mnooooo, mwisho wa siku naona hatari ya kufa kabla ya siku zanguNakuombea Kila la kheri. Ila Ndoa ni uvumilivu.

Wanaume wapo wengi, ambao naweza kuanzisha naye relation mda wowote ila nataka mwanaume ambaye sintajuti tenaMbona wewe tayari usha anza kua Bibi na bado uja mpata tu uje umpate 27![]()
Ni lugha tu, its to say no problemakiwa na mtoto hutakasirika sana badala yake utakasirika kidogo tu??
kila la kheri madam
Wewe uwajui wabibi, mimi ni mdogo sana niliwahi kusoma, kuna watu wana age hiyo wapo chuo hawana ajira yani wapo wapo tuMbona wewe tayari usha anza kua Bibi na bado uja mpata tu uje umpate 27![]()
Nitakuwa makiniKila la kheri . ila tambua wapo wengine ni wasanii watajifanya wana sifa hizo mwisho wa siku wakishakula wanasepaa.
mkuu acha kutupeperushia ndegeKila la kheri . ila tambua wapo wengine ni wasanii watajifanya wana sifa hizo mwisho wa siku wakishakula wanasepaa.
chunga lugha hizo zitakunyima mumeNi lugha tu, its to say no problem