Huyu ndo mwanasheria anayetegemewa na Serikali?

Huyu ndo mwanasheria anayetegemewa na Serikali?

Shida iliyopo ni kwamba Magufuli alipoingia madarakani aliwatishia mahakimu na majaji kwamba kwa nini wanaoishitaki serikali lazima washinde kesi wakati serikali ndio huwalipa mahakimu na majaji mishahara....!!!!!

Baada ya hapo kesi yoyote dhidi ya serikali mtu hawezi kutoboa hata awe na haki vipi lazima atashindwa kwa hizi mahakama tulizonazo.

Kila siku ninawaambia kwamba Nyerere wakati wa utawala wake alileta sheria ya kuwaweka watu kizuizini pasipo kuwapeleka mahakamani kwa sababu aliheshimu sana mahakama lakini watawala wa leo hakuna taasisi wanaoidharau kama mahakama.

Ujinga kama huu anaofanyiwa Tundu Lissu hii leo kamwe isingefanywa wakati wa Nyerere ila ambacho kingefanyika ni kumuweka tu kizuizini kwa mwaka mmoja na baadaye angeachiliwa huru.

Serikali hii imefanya leo hii majaji wakose kabisa heshima na leo hii wanaonekana kama sawa tu na wakuu wa mikoa au wilaya kwa jinsi wanavyoburuzwa na serikali kwenye masuala ya sheria.
 
Nmefatilia cross examination ya kapuga sjui katuga dhidi ya Mnyika nimetamani kulia,huyu ndo mwanasheria mkuu wa serikali ya AWAMU 6 anae tegemewa? Aise kama Taifa tunasafari ndefu ya kuendea walah nasema hii ni aibu.

ILA Mimi sishangai jaman, Hawa ndo watu walioko serikalini jaman ni janga kwa Taifa.
Katuga nakushauri Leo usigegede mkeo walau matipo choice uliyosoma wewe wakati Lissu anasoma critical thinking isikuumbue.
Mimi naona aibu kuona umeandika Katuga ni mwanasheria mkuu wa serikali ya awamu ya 6
 
Kapuga anazidi kudharaulika zaidi. Kuna form IV wawili hapa wanasema wanamumuda sana na wanaomba waunganishwe kama mashahidi upande wa utetezi.
 
Kapuga anazidi kudharaulika zaidi. Kuna form IV wawili hapa wanasema wanamumuda sana na wanaomba waunganishwe kama mashahidi upande wa utetezi.
 
Aliacha chuo hakumaliza alipopata ubunge.
Kwahiyo elimu ya Mnyika ni Form 6.
Ni bora mara mia kuwa na elimu ya Form six aliyonayo Mnyika kuliko elimu ya madiploma ya Samia na huyo Ndejembi yasiyokuwa na maana yoyote.
 
Nmefatilia cross examination ya kapuga sjui katuga dhidi ya Mnyika nimetamani kulia,huyu ndo mwanasheria mkuu wa serikali ya AWAMU 6 anae tegemewa? Aise kama Taifa tunasafari ndefu ya kuendea walah nasema hii ni aibu.

ILA Mimi sishangai jaman, Hawa ndo watu walioko serikalini jaman ni janga kwa Taifa.
Katuga nakushauri Leo usigegede mkeo walau matipo choice uliyosoma wewe wakati Lissu anasoma critical thinking isikuumbue.
Hizo ni ajira za kujuana za awamu hizi. Hawaangalii uwezo wa mtu bali anatoka wapi na anaamini nini
 
Back
Top Bottom